Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hivi Origi ndo hafai kabisa hata benchi?Naona Leo Xhaqiri anapiga Mido!
Confirmed Line Up: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Henderson, Shaqiri, Mane, Salah, Firmino.
Subs: Mignolet, Fabinho, Milner, Keita, Gomez, Sturridge, Moreno.
Ana mrefresh ngoja asimtumie saaana akachoka mapema keshakua mtu muhimu tayarSijapendeza kwa Matip kuanza!
Combo ya Gomez na VVD ni nzuri sana sio vyema kuibadirisha na huyu Matip na Lovren sasa wawe wanacheza FA na Catabao cups tu!
Sijapenda kwa kweli,Milner kupumzika is OK
Sijapendeza kwa Matip kuanza!
Combo ya Gomez na VVD ni nzuri sana sio vyema kuibadirisha na huyu Matip na Lovren sasa wawe wanacheza FA na Catabao cups tu!
Sijapenda kwa kweli,Milner kupumzika is OK
Hivi Origi ndo hafai kabisa hata benchi?
Alitufaa sana kabla ya kuumizwa
Rotation zina umuhimu wake jamani tusiwe tunalalamika tu. Wakicheza hao hao kila siku hao wengine watapaje fitness na tuna mashindano mengi??
Msimu uliopita rotation zilitusaidia sana January japo tulikuwa na kikosi kidogo
Sioni tatizo kwenye kikosi ila je mfumo utafanya kazi?Hata Hivyo Kikosi Sio Kibaya Sana Kulingana na Uzito Wa Mechi ya Leo..
Naamini 3 points Tunaweza Kuzipata.