Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha nimefurah sana yaan huu ulimwengu kwa sasa hamna 3front inayoogopwa kama ya liverpool mkuu
 
Pep Guardiola kapata dozi kwake hapo hapo...

UCL ni mnyama mwingine.
Huyu jamaa alipokuwa Bayern alipewa kila kitu na yakamkuta.
Kakimbilia EPL nako naona yanamkuta. Matajiri wa Etihad priority yao ni UCL.
Hii inanifanya nianze kuamini maneno ya pundit mmoja aliyesema kuwa Pep aliikuta Barca imeshapikwa na Frank Rijkaard
 

Hao ni critics wa Guardiola, before niliwahi kuwaza the same same, ila alichofanya EPL last year, ni bad news.

Nadhani majeruhi ya De Bruyne yatakuwa yana waathiri, ila Man City ni timu Nina uhakika itafika mbali UEFA this time. Labda wakutane na sisi Robo kama mwaka jana.
 

City wana timu nzuri sana na depth ya nguvu
Nakubaliana na wewe kuwa watafika mbali this time around
 

Mkuu unaweza Kufanya injury ya De Bruyne Ni Excuse lakini Ukweli Ni Kwamba Pep alikuwa na Bayern ikiwa Ni Complete Kwa Kila Kitu but still alifail CL.

Sasa na Kwa City hii asitegemee Kubeba CL labda arudi Barca Abebwe na Jitihada Binafsi za Messi.
 

Hata Hivyo Kuumia Kwa De Bruyne Kwa Man City Basi Sio serious Case Kwani Ana Depth la Kutosha Coz Mahrez na Guandogan Hawa Ni Squad Players ambao Wanaweza Kucover Vizuri tu Pengo lake.

Timu Kama Liverpool ndiyo Kuumia Kwa Mchezaji Mmoja yoyote Yule (lets say Mane) Ni Serious Case Kwasababu Hatuna Depth Kama Ya Man City ya Kucover Hiyo Nafasi.
 
Mkuu unaweza Kufanya injury ya De Bruyne Ni Excuse lakini Ukweli Ni Kwamba Pep alikuwa na Bayern ikiwa Ni Complete Kwa Kila Kitu but still alifail CL.

Sasa na Kwa City hii asitegemee Kubeba CL labda arudi Barca Abebwe na Jitihada Binafsi za Messi.

Toka ameondoka Barca wamechukua CL moja tu kama sijakosea, naamini kama angeendelea kubaki angeweza kuwa amechukua zaidi (that is if).

Bayern Munic aliyoipokea kaiacha iko na class ile ile, na bado hawafurukuti CL, wameishia alipoishia. So mimi sidhani kama tatizo ni Guardiola, bali ni ugumu wa CL. Natamani sana jamaa spate CL akiwa City.

Shida kubwa ya City ni maturity ya players, grinding, ukiacha mtu kama Company, Yaya alikuwa ni mtu muhimu, hawa wengine magumu yakiwafika wanapotea.
 

Ugumu gani wa CL?
 

Jana niliangalia dakika chache za game ya Man City, kuna jinsi wanafanya mashambulizi kutokea pembeni kwa Mahrez kulia na Sane kushoto, niliona kama watumia efforts sana na wides ni nyingi, zinazoenda kuwagonga wapinzani ni nyingi pia, KDB ana style fulani ya kupasua kati kwa kati kiasi kwamba pasi ikimkuta mtu anakuwa yuko straight na goli.

Game ambayo walishinda 2 - 1 (vs Newcastle) haikuwa tofauti pia, turnovers nyingi sana wakiwa wanakaribia goli la adui.
 

Na Ukumbuke Kuwa Barca aliyokuwanayo Hakuwa na Sababu ya Kutokushinda CL Back2Back ingawa Hakufanya Hivyo.. Na aliiacha Barca ikiwa Tayari Kuna Wachezaji ambao Ni Key Players (Xavi, Puyol, David Villa, Eric Abidal) Umri umeshaanza Kupinduka that is Makocha Waliomfuatia Walikuwa Ni Vigumu Kushinda CL.

Na Kuhusu Bayern ilikuwa na Kikosi Bora alipopewa Chenye Nusu ya Wachezaji Wake World Class Kwahiyo Alikuwa na Jukumu la Kujifanya Timu ishinde CL na si Kusema Kuwa Hata Makocha Wengine Hawajashinda.. Yeye Tunaaminishwa Kuwa Ni Kocha Bora Kwahiyo aoneshe Ubora Wake Kwa Kuibadilisha Bayern Yenye World Class Players ishinde CL.

Pia Jukumu la Kuibadilisha City ishinde CL Ni yeye Pep.

Lakini ukweli usiopingika Ni Kuwa Pep Hawezi shinda CL akiwa na City.
 
... Yeye Tunaaminishwa Kuwa Ni Kocha Bora Kwahiyo aoneshe Ubora Wake Kwa Kuibadilisha Bayern Yenye World Class Players ishinde CL...

Wewe huamini hivyo?

Unaweza kunitajia makocha 2 duniani unao dhani kwamba ni top kwa Pep?

...
Pia Jukumu la Kuibadilisha City ishinde CL Ni yeye Pep.

Lakini ukweli usiopingika Ni Kuwa Pep Hawezi shinda CL akiwa na City.

Mkataba wake bado haujaisha, na kwa patience waliyonayo matajiri wake nina uhakika jamaa hatafukuzwa, kombe atalichukua. Huu ni msimu wake wa tatu, bado, ikitokea akikaa 5 seasons, atakuwa amechukua CL mara moja.

Labda afukuzwe season hii.
 
Natafuta namna nzuri ya kukujibu nakosa kwa sababu unakojoa na kulalia hapohapo. In one of your sentences u've said elites are not featured in Europa league. 3 season back you were struggling to get that cup. Nadhani ile ilikua Liverfool B.

For gods sake better shut that big mouth and let real men do their thing. [emoji41] [emoji41]
 
Kinacho kuuma ni kwamba hako katimu ka 2004 tena tokea huo mwaka kana makombe mengi kuliko hao wakubwa. Narudia tena hiyo rivals una force wewe.

Hivi kwanza unaelewa maana ya rivals.? Yawezekana unaandika kitu hujui unamaanisha nn basi tu kwakua umesikia mahali fulani. Nenda google kajifunze. Spread you wings and fly.
 

The chaaaaaaaaaaammmppppiiiiiiiiiiiooooooonnnnnss
 

The chaaaaaammmmmpppiiiiiiiooooooooonnnsss
UCL
 
Pep Guardiola kapata dozi kwake hapo hapo...


Alipata kiburi na mafanikio ya last season akakacha kusajili, acha yamkute. Always naamini katika kusajili kila dirisha kubwa ili kuongeza quality na suala lingine kwa mtazamo wangu strikers wa Man City (Aguero na Gabriel) ni strikers wa kawaida (sio cream natural) , huwezi kutishia club kubwa duniani eti nina Aguero/Jesus. Kuna Club zina strikers sio wa kubahatisha; Man Utd wana Rashford Bayern wana Lewandowski, Barca wana Suarez, PSG wana Cavani, Tottenham wana Kane, Atletico wana Diego Costa n.k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…