Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
kuna pundits wame comment eti Klopp hawezi kumnunua mchezaji dizaini ya Neymar, labda kama ni kwa mkopo ili amtumie kwenye Carabao cup!
nakubaliana nao... yule dogo hawezi kucheza heavy metal week in week out.
You only found me at my baddest. Lets keep meeting there.Cc: eden kimario Southern Highland Antonio Conte [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kidogo Mentor huwa hanaga ushabiki maandazi. Penye ukweli huwa anasema ukweli
Next week sio mbali. Tunawasubiria kwa hamu kubwa
Sehemu pekee iliyobaki kujitetea ni yale makombe mliyochukua mara ya mwisho miaka zaidi ya kumi iliyopita yawezekana hata nyie mlikua bado hamjaanza kushabikia Liverpool. Naheshimu historia mliojiwekea huko nyuma lakini mkuu tunaangalia sasa unafanya nini.ManU ndio our true rivals in the EPL
Hata sir Alex Ferguson alilisema hilo
I have respect for ManU
The rest akina Chelsea na wengine ni kama mtibwa na Azam
Numbers don’t lie
UCL ina wenyewe.......
YNWA
Sehemu pekee iliyobaki kujitetea ni yale makombe mliyochukua mara ya mwisho miaka zaidi ya kumi iliyopita yawezekana hata nyie mlikua bado hamjaanza kushabikia Liverpool. Naheshimu historia mliojiwekea huko nyuma lakini mkuu tunaangalia sasa unafanya nini.
Mimi sihitaji na wala sijasema wewe na mimi ni rivals nashangaa ulivyokomalia hilo swala. Watu wanashida na makombe acheneni na mahistoria. Hata waliochukua hayo makombe wote washaondoka kwenye timu.
Hehee.. Eti siyo big match. Eti unaona kama unacheza na Bolton. Eti tunatafuta promo kupitia Liverpool.Sasa Kama Hamujifanyi Kuwa Liverpool Ni Rivals wenu Kwanini Mukawa Munaikomalia Zaidi Liverpool Kwa Kila Mechi Tokea Msimu Ulipoanza? Na Kibaya Zaidi Munjifanya eti Nyinyi Liverpool Ni Mpinzani Wenu Mkubwa Kiasi Ya Kwamba Mechi Yenu vs Liverpool Munaipa Promo Kuwaaminisha Watu Ni Big Match while ukweli Ni Kwamba Ni Mechi Ya Kawaida tu Ambayo Sisi Liverpool Tunaona Ni Sawa na Mechi Tunayocheza vs Bolton.
Sisi Kwetu Kwa EPL big Match Ni MOJA tu!!
Liverpool vs Man United
Lakini Hii Liverpool vs Chelsea Kwetu sio big Match wala sio match ya Upinzani Bali Ni Match ya Kawaida tu kama Tunavyocheza na Swansea Ya Kutafuta Points 3.
So, Acheni Kutafuta Promo Kupitia Liverpool Kujifanya eti Ni Mpinzani Wenu wakati Liverpool na Man United hazina Mpinzani London.
Utakua sio mzima wwSehemu pekee iliyobaki kujitetea ni yale makombe mliyochukua mara ya mwisho miaka zaidi ya kumi iliyopita yawezekana hata nyie mlikua bado hamjaanza kushabikia Liverpool. Naheshimu historia mliojiwekea huko nyuma lakini mkuu tunaangalia sasa unafanya nini.
Mimi sihitaji na wala sijasema wewe na mimi ni rivals nashangaa ulivyokomalia hilo swala. Watu wanashida na makombe acheneni na mahistoria. Hata waliochukua hayo makombe wote washaondoka kwenye timu.
Haya basi wewe mzima wa afya na timamu wa akili naomba nikuulize, msimu uliopita mmechukua kombe gani.?Utakua sio mzima ww
Hata waliochukua msimu uliopita tayr ni historia,
Tukisema tunaangalia sasahv hakuna alieshinda chochote had sasa, so unajaribu kuongea nn cjui
Huwa cjibu maswali yenye majibu kamaHaya basi wewe mzima wa afya na timamu wa akili naomba nikuulize, msimu uliopita mmechukua kombe gani.?
Basi wakati mwingine uwe unakituliza ujue nimetoka wapi na naelekea wapi. Siyo unakuja juu juu tu.Huwa cjibu maswali yenye majibu kama
haya unakumbukumbu tulichukua kombe lolote jipange kuuliza kingine
Sikia, kwa historia mnazidiwa, kwa msimu huu hakuna alieshinda chochote so relax
Nijue ulikotoka na unakoelekea what for?Basi wakati mwingine uwe unakituliza ujue nimetoka wapi na naelekea wapi. Siyo unakuja juu juu tu.
Inaonekana kidogo we ni mgumu. Ngoja nikurudishe nyuma kidogo uone nilichokizungumzia mimi na ulichozungumza wewe.Nijue ulikotoka na unakoelekea what for?
Umeleta comment kwenye uzi kama kawa tunachangia
Hutaki tuchangie chat na mtu inbox au kwnye uzi tofauti na huu sitachangia
Noma sana. Imenibidi niiangalie hii mechi japo nilikua naicheki ya Bayern nikaamua kubadili.Ebhana huyu fekir ni moto wa kuotea mbal
Ila january wapande dau tena aise tumpateNoma sana. Imenibidi niiangalie hii mechi japo nilikua naicheki ya Bayern nikaamua kubadili.
Sema ni tamaa za Aulas tu na kiburi cha Michael Edwards.. Aulas akaona huyu jamaa asijitie mjanja akakomaa. Edwards nae akakomaa.
Mwisho wa siku deal lika stall.
Inaonekana kidogo we ni mgumu. Ngoja nikurudishe nyuma kidogo uone nilichokizungumzia mimi na ulichozungumza wewe.
Mimi sikutaka kuzungumzia historia ya nyuma ila ndugu zako wa Liver wao wanajivunia hiatoria ambayo iliwekwa miaka zaidi ya kumi iliyopita na ndio maana nikasema naheshimu historia yenu mliyoweka huko nyuma ila kwa current season unaangaliwa unafanya nini. Na ndiyo maana ulipokuja wewe na ila comment yako bila kujua nimetoka wapi na yule niliyekuwa nachat naye ndio maana nikakuuliza msimu uliopita mmechukua kombe gani.? Kwa maana ya kwamba mnaowadharau wanachukua makombe lakini nyie mnatoka holaa. Niliandika kwa sababu huyo jamaa anajivunia makombe na ndio maana na mimi nikawa najivunia kombe langu la msimu uliopita.
Expensive partner
Don't drop him [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 871695
Hehee.. Eti siyo big match. Eti unaona kama unacheza na Bolton. Eti tunatafuta promo kupitia Liverpool.
Nipeni cha kujisifia mlichofanya ndani ya miaka kumi iliyopita. Yawezekana nyinyi ndio mnatafuta kiki kupitia Chelsea. Hamna mlichofanya cha maana mpaka sisi tutafute promo kwenu.
Wewe ngwaba ndio ulikua unakuja kutupigia kelele kule kwetu lakini ukawa unaishia kuangukia pua daily eti tunatafuta promo. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]