Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe we ndo JB
 

Tungetulia wangekula 5
PSG hawana beki ya maana
Mid ndio tuliicontrol hadi raha
Sasa watasema Napoli nae kisiki
 
Matusi ni ishara ya akili ndogo.
 
-najua unakoelekea,

kwako timu kubwa ni lazima iwe na ucl ila ukweli ni huu

-bajeti

-wingi WA vikombe vya ndani n.k

Tukiziangalia timu kama mziangaliavyo nyinyi hata man city tutawaweka kundi la kina everton.

Eti Wingi Wa Vikombe Vya Ndani..

Kama Ni Hivyo Basi CELTIC Ni Zaidi Ya Barcelona na Real Kwani Hizo Hazijawahi Kuchukua La Liga Zaidi Ya Mara 5 mfululizo Wakati Celtic Tokea Magufuli aingie Madarakani Ni Yeye Anabeba Kombe La Scotland Mfululizo.

Jifunze Kuujua Mpira
 
-kwa bahati mbaya anayenambia nijifunze kuujua mpira hajanambia ni kigezo gani kinaifanya team iitwe kubwa?
 
Next week ni ngumu kwenu. Head to head na Chelsea mara mbili maji mtayaita mmaah. Loser[emoji23][emoji23]

Sisi Tunamechi Moja tu na Nyinyi Ya EPL, Hiyo ya Mickey Mouse Sisi Hauhesabu Kuwa Ni Mechi Ya Kupambana Bali Tutawaachia Nyinyi Muje Mupambane.. Wapo U23 kina Solanke na Camacho tutawatilia uwanjani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…