Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mkuu kwa hapa lazima atajirekebisha
Nakupiga easy sanaBaada ya kumalizana na westham itakuwa ni zamu yako kijogoo
Meneja Klopp kasema anafurahia strikers wake wanapokuwa greedy wakiwa mbele ya goli la adui na kunyimana nafasi kila mtu anataka kufunga,kasema ni jambo la kawaida kwenye soka!
Nadhani kaisha wapiga mkwara chemba huku kwa media anaonyesha kama ipo OK hamna shida!
Wangeshirikiana ile mechi iliisha dakika ya 60Yani Juzi Pale Mane Alipobuki Kutoa Pasi Kwa Salah Klopp Alimaindi Sana...
Nilidhani Kakaa Kimya tu hajasema Chochote!!!
Lakini Kama Kaliongelea Mbona Haina Shida.
Huyu ni football brain. Never selfish. Anacheza jinsi mazingira yanavyotaka. Sio lazima afunge. Na anaelewa hilo. He is good. Mane na Salah wanafanya ujinga tu. Messi mwenyewe sio selfish, nampenda sana Roberto.Roberto Firmino has been directly involved more Premier League goals under Jurgen Klopp than any other Liverpool player.
√ 38 Goals
√ 23 Assists
Kwa kweli Huyu Jamaa Ni Very Unselfish player Jambo linalomfanya Apendwe na Kila Mtu...
Ni Bahati Kwetu Kuwa na Mchezaji Kama Huyu.
View attachment 868631
How many trophies have Tottenham & Liverpool won under Poch & Klopp?
Yuko wap sasa hiviWana wa LFC mnamkumbuka mzee jonjo ???hahahaView attachment 868651
Under Chelsea ana muda ganSame as 65years old Tobacco Smoking Coach Ambaye Hajawahi Kushinda Chochote Kwenye his entire career ya ukocha wake.
Hujajibu swaliSame as 65years old Tobacco Smoking Coach Ambaye Hajawahi Kushinda Chochote Kwenye his entire career ya ukocha wake.
Yani Kipa Aliyeconcede Magoli 114 Kwenye Kwenye 2 season anapata Ujasiri Wa Kumsema Kipa Aliyeconcede 2 goals Kwenye 5 matches.
Dunia ina maajabu Yake!
Kwani ili timu ishinde ni lazima ushirikiano wa timu uwepo ,na ni lazima wachezaji wapeanae mpira ili wafunge.....uchoyo wa pass kumpasia mtu aliyekua katika nafasi nzuri ili wafunge na washinde ila sio kwa tafsiri yako hii uliondikaUkiiangalia Hiyo Video Yapili Hapo Chini Utamuona Na Gini jinsi alivyofanya Ubinafsi Wa Kutotoa Mpira Kwa Wenziwe na Tukapoteza Nafasi.
Ni wazi Kuwa Wachezaji Wetu Wanacheza Kwa Ajili ya Mtu Kufunga na Hawachezi Kwa Ajili ya Timu Kushinda.
Ukimtoa Alex Chamberlain mwingereza mwenzanguRoberto Firmino has been directly involved more Premier League goals under Jurgen Klopp than any other Liverpool player.
√ 38 Goals
√ 23 Assists
Kwa kweli Huyu Jamaa Ni Very Unselfish player Jambo linalomfanya Apendwe na Kila Mtu...
Ni Bahati Kwetu Kuwa na Mchezaji Kama Huyu.
View attachment 868631