Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umeongea vizuri sana mkuu. Unazi ukizidi unaondoa uhalisia..
 
Word...
 
Mane ni mchezaji mwenye thamani ndogo sana.
 
Hapo kwa Trent na Azpilicueta umeongea sana lakin ukichukua stats za hizi mechi 4 had sasa Azpilicueta anamzidi trent sehem ndogo sana na Trent pia kuna sehem anamzid Azpilicueta so binafsi naona ni watu ambao tunaweza kuwalinganisha kabisa
 
Kocha ni nani?Kama ni Klopp I would hardly prefer Firmino over Torres.Pia Carra anaingia sehem ya Agger kwa sababu VVD and Agger wana the same style of play...
 
Trent anamzidi nini Azpi?
 
Kocha ni nani?Kama ni Klopp I would hardly prefer Firmino over Torres.Pia Carra anaingia sehem ya Agger kwa sababu VVD and Agger wana the same style of play...

Torres hujamtendea haki mkuu, kwa miongo miwili hatujawahi kuwa na world class player level ya Torres akiwa Liverpool.
 
Trent anamzidi nini Azpi?
Karibu sana
Kwenye attacking msimu huu had sasa trent amemzidi azp shots, accuracy, hit woodwork, kwenye defending amemzid tackles won ingawa azp hapa ana stats nzuri kwenye vipengele vingine,goalkeeping trent kamzid azp
 
Mane ana thamani ndogo lakini si Kwa Willian.. Bei ya Mane unanunua Willian Watatu na Giroud mmoja.

Hivi bosi, unapata wapi energy ya kujibizana na mtu aliyejitoa ufahamu?

Mimi baada ya kugundua kwamba Ollachuga Oc ni mtu wa comments za mzaha, nimejifunza kumuignore, hajawahi kuandika comment yenye content, ni pumba, provocation, in short kwangu ni mchangamsha genge na mchekeshaji asiyefaa kula muda wangu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…