Maajabu sana haya kwa kweli!Ukimuondoa VVD, Mane na Salah utabakiwa ni kitu gani cha ziada apo Liverpool?
Willian anamtoa nani sasa pale mbele?Sitaki utaje wengi...ila brother ni ushabiki au nini...kwamba hata willian na Azpilicueta kwako ni magarasa??!
Basi sawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wakija darajani wanaanzia benchi mkuu.Keita,gini,firmino au ambacho huelew nini
Haha anapigwa bench na nani labda na geroud auHao wakija darajani wanaanzia benchi mkuu.
Haha anapigwa bench na nani labda na geroud au morata auHao wakija darajani wanaanzia benchi mkuu.
Hahaha sasa kwa mfano uyo keita anaweza kumuweka nje Jorgihno au beki gani yeyote ya Liver ukimuondoa VVD inaweza kumwka nje Alonso, au Azp .. Lovreen!!! haha liverpool ni Salah lbda na Mane tu. Uyo Allison mpka December klin sheet labda zikizid ni tano tu.Maajabu sana haya kwa kweli!
Hebu changanya first 11 ya Liverpool na Chelsea kisha ona nani ataanza
Hazard mwenyewe hawezi muweka nje Mane huyu
Bao 4 bila penalty na bao sijui 3 mbili za penalty unaanza vipi sasa?
Au tuchukulie stats za mwaka jana?Mane ana bao 1 Champion League dhidi ya bao 3 za hazard
Hapo Kati kweli nimtoe Gomez huyu acheze Luiz au Rudiger acheze kwa VVD?
Huko mna Kante hao wengine akina Jorgino na Kovacic hamna kitu
Willian akija apo Anfield fest XI lazima imuhusu. Firmino kiwango hamna tena.Willian anamtoa nani sasa pale mbele?
I will not SWAP my 3 front men with nobody!
Hahaha sasa kwa mfano uyo keita anaweza kumuweka nje Jorgihno au beki gani yeyote ya Liver ukimuondoa VVD inaweza kumwka nje Alonso, au Azp .. Lovreen!!! haha liverpool ni Salah lbda na Mane tu. Uyo Allison mpka December klin sheet labda zikizid ni tano tu.
Akiumia VVD beki Liverpool hakuna tena.
Willian ana gol ngap msimu huu au ulio pita hlf ndo umlinganishe na firminhoWillian akija apo Anfield fest XI lazima imuhusu. Firmino kiwango hamna tena.
Willian ana gol ngap msimu huu au ulio pita hlf ndo umlinganishe na firminho
Bac ukishindwa hyo linganisha hata na assist mkuu
Liverpool ni timu kubwa mkuu kuliko timu zote za ulaya. Hakuna kama Liverpool Ulaya nzima.Chelsea ni timu ndogo sana
Numbers don’t lie
Saizi yenu ni Arsenal na Totenham na Watford
Liverpool ni timu kubwa mkuu kuliko timu zote za ulaya. Hakuna kama Liverpool Ulaya nzima.
Ndio mkuu hatujakataa, Liverpool club kubwa sana. Hongera mkuu!There are only 2 contenders in EPL
ManU and LFC
The rest are just pretenders
Numbers don’t lie
That’s the reality
Unless you win at least 3 UCL crowns, then we can talk. Otherwise wewe ni kama Majimaji FC tu
Ndio mkuu hatujakataa, Liverpool club kubwa sana. Hongera mkuu!
I am sure you watched the world cup games.Willian anamtoa nani sasa pale mbele?
I will not SWAP my 3 front men with nobody!
Pamoja na magarasa yote lakini kila msimu lazima tunyanyue kwapa kwa Hawa Hawa magarasa... !!!Timu yako wachezaji ni wawili tu
Ngolo na Hazard
Wengine wote magarasa tu
Ni timu ndogo kwa maana ya historia ama...sijaelewa hapo dadavua kidogoNimeshasema time and time again kuwa Chelsea bado ni timu ndogo. Numbers don’t lie
Our true rivals ni ManU
Keeper Allison
Kiungo Fabihno
Striker Firmino
WOTE wameanza kikosi cha Brazil dhidi ya USA dakika 10 zijazo!Tuwaombee wasipate tu majeruhi!!
Nimesafiri kuja kuiona LIVE Uruguay vs Mexico,nimuone Suarez kwa macho yangu