OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Safari ndo ina anza hivyo, Allison kachomesha (kama nilivyokuambia kujifunga kupo tu) sasa ukikutana na Chelsea, halafu ucheze kama leo..Bado mwezi September haujafika kwako?
2-1 points tatu muhimu
Alison kachomesha leo
E&K
Hongereni sana
E&K
Ndio makombe yenu hayo tena lile la carabao ila msimu huu mtatoka tena kapa bila kombe loloteYaani bora tu tukose chochote kuliko kushinda FA na Carabao
Chelsea, Tottenham na Arsenal wanapiga mpira mzuri kuliko sisi by the time na Man City pia
ngoja leo Eddie Howe uwafanye kama alivyofanya msimu uliopita...Ndio makombe yenu hayo tena lile la carabao ila msimu huu mtatoka tena kapa bila kombe lolote
E&K
YNWANilichofurahia Mimi Ni:
3 Points
2 Goals
The rest I don't Care
Tukutane kule jukwaa la chelsea
E&K
Puel nadhani ndo manager ambaye amekuwa akimsumbua Klopp katika mechi 8 walizo kutana Puel has an upper hand(4 wins).
Virgil has been performing poorly msimu huu so as Mo Salah i hope the coming fixtures things will be sorted out.
Joe Gomez has a solid performance and he deserve man of the match credits, he's growing into the game.
Wale waingereza wawili don't deserve to start together kwenye midfield leo Mendy,Ndidi waliwapoteza kabisa pale katikati kuanzia dakika ya 23 mpaka mpira unaisha tulikuwa na hali mbaya.
Allison nadhani hatafanya ujinga tena wa kucheza mipira kizembe kwenye 18 yake baada ya ile mistake nikajua hii tunaweza maliza kwa sare.
Klopp achange tu vizuri katata zake maana mwezi huu wa 9 tuna fixtures ngumu