Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapa umechambua kishabiki sana binafsi psg na napoli si timu za kuisumbua liverpool labda klopp alale
Mkuu hakuna ushabiki wowote ...labda wewe ndo umeleta ushabiki, angalia kwa makini kikosi cha Napoli halafu uje na PSG halafu linganisha na kikosi cha Liverpool.

Kitakachoibeba Liverpool labda uwe ni uwezo binafsi wa wachezaji.! lakini hapo ana wakati mgumu sana wa kupita makundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani Timu Gani inayoshinda Game bila ya Uwezo Binafsi Wa Wachezaji?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…