Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leicester City XI: Schmeichel, Chilwell, Morgan, Maguire, Mendy, Ndidi, Pereira, Albrighton, Gray, Maddison, Ghezzal.

Subs: Ward, Evans, Iheanacho, Amartey, Okazaki, Iborra, Fuchs

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Gomez, Van Dijk, Robertson, Milner, Wijnaldum, Henderson, Salah, Mane, Firmino

Subs: Mignolet, Keita, Sturridge, Moreno, Lallana, Shaqiri, Matip.
 
Mashabiki wa Liverpool bana ni kujisifia na Uefa tu lakini ukimuuliza EPL ametwaa lini unamuonea mpaka na Huruma

E&K
Utafananisha UCL na EPL?
Usingegombea top 4 basi!
Bado timu yako ni club ndogo sana kulinganisha na the KOP
Respect to ManU only in the EPL cause they are our true rivals but not Chelsea.
NUMBERS DON'T LIE!!
 
Leo Keita benchi, ngoja tuone itakuwaje.

Kuna siku nilisoma sikumbuki ni Doyle au nani kutoka Liverpool Echo wakiongelea ulazima wa Henderson kuanzia game, kisa eti alibadili tempo kwenye ile sub vs Brighton.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…