Kocha lazima apewe muda mkuu ile timu waliiharibu toka 2013 alipostaafu alex sasa ukifukuza saiv unategemea nn kuna watu wanakwambia zidane angalia kushoto marcelo kulia dan kati ramos na varane kwa uchache tu pata pichaHahaha, jamaa unampenda sana kocha wako. Ila ndo anakuumiza sasa.
it's early doors yes...but our legend looks a real deal as a manager.The unbeaten SG8
Steven Gerrard as Rangers FC manager:
12 Matches
6 Wins
6 Draws
0 Defeats
18 Goals Scored
8 Goals Conceded
Unbeaten in SPFL.
Qualified for Europa League Group Stage.
What. A. Start.
Utabiri wa gemu ya leo na Leicester City vipi...mimi naona tunatengeneza clean sheet nyingine.
Kuna Vardy pale kati, na beki yetu haijawa tested mpaka dakika hii.
Kocha lazima apewe muda mkuu ile timu waliiharibu toka 2013 alipostaafu alex sasa ukifukuza saiv unategemea nn kuna watu wanakwambia zidane angalia kushoto marcelo kulia dan kati ramos na varane kwa uchache tu pata picha
Vardy alikula red card last week
Ooh, yule mjinga namwogopa kama navyomwogopa Harry Kane.
Muda wowote anakuwasha.
nadhani Zaha ilikuwa ni test kubwa kuliko huyu Vardy.Kuna Vardy pale kati, na beki yetu haijawa tested mpaka dakika hii.
Humwogopi Lukaku?
View attachment 853295
Mnamkumbuka huyu mdomo mrefu?
Maneno meengiii lakini vitendo zero!
Ama kweli tuliishiwa sana miaka ile.
Kacheza kama striker pale Anfield from 2002-2005, 55 appearances, and scored only 3 goals!!!!!Kila siku analalamika kwamba SG8 ndo alisababisha ashindwe kufanya vizuri, kwamba alikuwa anamwonea wivu.
Kacheza kama striker pale Anfield from 2002-2005, 55 appearances, and scored only 3 goals!!!!!
Namkumbuka sana, chenga nyingi zisizo na akili, nidhamu mbovu.
We had so much expectations in him, especially after what they did at the WC (Senegal).
Lakini aliflop big time.
Namkumbuka sana, chenga nyingi zisizo na akili, nidhamu mbovu.
We had so much expectations in him, especially after what they did at the WC (Senegal).
Lakini aliflop big time.
Kuna Vardy pale kati, na beki yetu haijawa tested mpaka dakika hii.
Vardy hayupo
Sent from my iPhone using JamiiForums
View attachment 853295
Mnamkumbuka huyu mdomo mrefu?
Maneno meengiii lakini vitendo zero!
Ama kweli tuliishiwa sana miaka ile.
Jamaa alikuwa Kazi Yake Kubwa Ni Kutema Mate (Spitting) Kama Nyoka.