Yaa Gwako kaja!Tuombe hii international break isituzalishie injuries tu...
More than ready my SONWE ARE READY
Hao tatizo wanauza wachezaji wote kila MayWatu wa mkeka tunaliita Chama hili"Jeshi" linanipa pesa nyingi Kwenye mkeka lakini CL ni maji marefu sana
Liverpool anapita kundi hili na mechi mkononiKing Ngwaba naona safari yako ile ya makundi. Napoli amekwisha pita hapo labda mpambane kumtoa PSG kama mtashindwa basi kwaherini.
PSG
Napoli
Hauna point yyt ile ya ku back up madai yakoNaona unaongea vya kujifariji ndugu yangu. Atakae ongoza group hapo atakuwa Napoli hiyo nafasi iliyobaki up to you PSG/liver ila kama mnaona kazi ni nzito kwa PSG basi elekeni jiwe tu
Nasubiri kuziona clean sheets ambazo mmetamba nazo kwa mechi tatuRatiba yetu Mechi hizi
Leicester City(EPL-A)
Totenham(EPL-A)
Napoli(CL-A)
Soton (EPL-H)
Chelsea(Carabao-H)
Chelsea(EPL-A)
PSG(CL-H)
Kwa kikosi chetu sina wasi wasi na ratiba hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa suala sio kikosi bali ni vipaumbele ,akipanga kikosi kile kile alichoanza nacho msimu huu mechi zote hizi wote mnajua kitakachofuataRatiba yetu Mechi hizi
Leicester City(EPL-A)
Totenham(EPL-A)
Napoli(CL-A)
Soton (EPL-H)
Chelsea(Carabao-H)
Chelsea(EPL-A)
PSG(CL-H)
Kwa kikosi chetu sina wasi wasi na ratiba hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nadhani naby keita ndo mrithi wa coutinho liverpool nadhani JK amekua impressed na technical ability yake ndo mana hajataka ku risk kwa nabil fekir
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree Brother ............ Sioni ugumu wa Hilo Group kabisa kwa Liverpoolseen the draw.
easy group for LFC, it will be a failure kama tukishindwa ku-top that group.
no excuses.
Unategemea kuna chochote uyo salah atafanya dhidi ya gem ya Chelsea?Salah asipozingua kwenye mechi VS Chelsea hapo September nina uhakika EPL title msimuu huu ni yetu
KK. Napoli hamfungi Liverpool.King Ngwaba naona safari yako ile ya makundi. Napoli amekwisha pita hapo labda mpambane kumtoa PSG kama mtashindwa basi kwaherini.
PSG
Napoli
Carabao na CL vikosi tofautiHapa suala sio kikosi bali ni vipaumbele ,akipanga kikosi kile kile alichoanza nacho msimu huu mechi zote hizi wote mnajua kitakachofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi pata clean sheet kila game hasa hizi zijazoNasubiri kuziona clean sheets ambazo mmetamba nazo kwa mechi tatu
Kumbe clean sheet zinawauma sana watu mzeeHuwezi pata clean sheet kila game hasa hizi zijazo
Lkn teams hizi kama WHU kupata clean sheet ni sawa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Napoli aifunge liver kweli? Kuna watu chuki zitawaua kisa Liverpool