Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tupo Group C

Group C

🇫🇷 Paris
🇮🇹 Napoli
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool
🇷🇸 Crvena zvezda


#UCLdraw
 
Hata Kwa Njia Yoyote Hile Ni Lazima Tuongoze Group tu!! Venginevyo Katika Last 16 Tutakutana na Mmoja Wapo Wa Waliokuwa Katika Pot A ambao Wataifanya Game Kuwa Ngumu.
 
King Ngwaba naona safari yako ile ya makundi. Napoli amekwisha pita hapo labda mpambane kumtoa PSG kama mtashindwa basi kwaherini.
PSG
Napoli

Serie A nzima Hakuna timu inayoweza Kumtoa Liverpool Kwenye Stage yoyote hile.

Sisi Hapo Hatupambani Kwa Lengo La Kusonga Mbele Kwani tunajua tayari tumeshaingia Knockout stage! Bali Tunapambana Kuwa Group Leader tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…