Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool hii ina depth na quality ya kugomabania ubingwa na city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fekir: I heard a lot of things. The real reason? Only Liverpool FC know.

These things happen, it’s just how it is. We have to move on, it’s well in the past now.

I have totally come to terms with the failed transfer to Liverpool FC.
 

Nakwelewa sana, ndo maana nasema wewe ni moja ya washabiki wa kuchangamsha jukwaa, mtu asipokuelewa anajikita anapanic analeta statistics kumbe hata huzihitaji.

Pamoja sana mkuu.
 
Aliison sidhani kama atafikisha gemu kumi bila kuchomwa ..kwa gemu ya leo tu kuna uhakika wa kuchomwa goli mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma[emoji3] [emoji3] kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma[emoji3] [emoji3] kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Manne na Sallah ni hadithi nyingine
This time wapo Chama kimoja LFC.
Ongezea morali( this time sio kelele) ya Anfield.
Changanya na ukabaji Wa Keita,vvd gomes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga Crystal Palace walituzidi nini
Ball possession ilikuwa 37 % kwa Palace 63% kwa Liverpool
Shoot on target Palace alikuwa na 2 Liverpool alikuwa na 8 tulizidiwa vipi Acha mihemuko
Sio mihemko mkuu ..izo takwimu zinaweza kubadilika mkuu ...Liverpool akawa na BP 37% na Briton akawa na 63% ..hii game ya leo sio rahisi kihivyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…