wenzio huwa wanatumia facts & stats ku back up arguments zao. jifunze kutoka kwa hao chief.Mkuu hizi ni past tu ..ngoja tuone leo Liverpool atatokea wapi. Briton wamebadilika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
wenzio huwa wanatumia facts & stats ku back up arguments zao. jifunze kutoka kwa hao chief.
Mkuu hizi ni past tu ..ngoja tuone leo Liverpool atatokea wapi. Briton wamebadilika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
I see....Kama umewahi kuangalia mpira kwenye vibanda watu wa namna hiyo wamejaa. Anabisha kwa mikelele bila facts wala stats, ukimfungulia asome anakwambia hiyo imeandikwa na mtu tu.
[emoji3] [emoji3] najua hutaaminiI’m sure you’ll eat you own words
Karibu sana
[emoji3] [emoji3] najua hutaamini
E&K
Kwani wewe unataka facts/stats gani labda?wenzio huwa wanatumia facts & stats ku back up arguments zao. jifunze kutoka kwa hao chief.
Mkuu me nazungumzia Hallison kufungwa zaid ya mbili leo haijalishi mtashinda au mtafungwa ..leo kunawezekana kuwepo kwa magoli pande zote mbili.
Halafu kutokupoteza nyumbani msimu uliopita haina maana sana ..leo unaweza ukapoteza tu
Mpira na timu huwa ni vitu vinavyobadilika kila dakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi ni past tu ..ngoja tuone leo Liverpool atatokea wapi. Briton wamebadilika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kumwamini mkuu sijakukataza ni mawazo yangu tu hayo kwamba leo mtaaibishwaIn Jurgen we trust
Nikuombe sana Mzee wa kaya. Hebu angalia you tube clip ya Allison Becker" the crazy server and reflexes" utakubali ubora wake.Mkuu me nazungumzia Hallison kufungwa zaid ya mbili leo haijalishi mtashinda au mtafungwa ..leo kunawezekana kuwepo kwa magoli pande zote mbili.
Halafu kutokupoteza nyumbani msimu uliopita haina maana sana ..leo unaweza ukapoteza tu
Mpira na timu huwa ni vitu vinavyobadilika kila dakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Allison huwezi kusema ni bora kwa kipimo cha game mbili za mwanzo dhidi ya Liverpool ambazo zilionekana ni nyepesi sana. Allison hajakutana na akina Iwobi, Willian, Aguero na timu ndgo ndgo kam Leicester, Burnley n.k ambazo zina winga wenye uwezo wa kufunga vizuri tu. Bado Uefa uko inamsubiri.
Hata hivyo Karius alijitahidi sana sema nyie mashabiki ndo mmemuangusha. Hivyo Hutu Allison bado hajakutana na mikiki mikubwa mikubwa maana ligi ndo kwanza game ya tatu hii.
Bado sana Ku improve uwezo wa Allison.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga Crystal Palace walituzidi niniMkuu ile ya CP ukicheki kwa makin Liverpool ilizidiwa sema Palace hawakuwa na umakini wa kutosha ..kama wangekuwa makini kama *Briton City* basi ile game ingeisha dro ya mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo lazima Brighton wamwaibishe mtu leo
E&K
Acha kujitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga Crystal Palace walituzidi nini
Ball possession ilikuwa 37 % kwa Palace 63% kwa Liverpool
Shoot on target Palace alikuwa na 2 Liverpool alikuwa na 8 tulizidiwa vipi Acha mihemuko
Hats De Gea hamkutiMark my word! Alisson is one of the best in the business. Kwa EPL labda anapitwa na DaGea tu.
Ili free kick ya juzi angekuwa Mignolet basi tungeongea mengine.
Nimemwona toka yupo Brasil, Roma na World Cup kule Russia
HahahahahaHuyo Kaangali Mpira LiveScore ndiyo mana akawa anapayuka! Angelikuwa Kaiona Liverpool Live ikicheza basi asingeliropokwa.
Haaha mkuu usichukulie siriyasi sana maoni yangu ..hata hivyo unatakiwa usiwe siriyasi sana maana huu ni ushabiki tu.Jamaa toka nikuone kwenye Uzi wa Man Utd unakomalia Pogba kuuzwa, niliona wewe ni mzee wa kuchangamsha genge, siyo wa kukuchukulia serious.
Natanguliza kukupa pole, Liverpool FC itakusababishia madonda ya tumbo kama ukiichukia.