Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Na msipo ondoa utegemezi wa Mane na Salah basi mtapata tabu saana.
Unatakiwa huelewe, sasa hivi mnashinda kwa sababu wapo na wasipo kuwepo je?
Nyie bado sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokiona kwa Firmino ni kama bado hajaipata role yake vizuri kwa sababu Keita anafanya baadhi ya kazi alizokuwa anafanya yeye, angekuwa pure striker huu ulikuwa ni msimu wake wa kutupia nyavu make mlishaji yupo.
Sasa yeye cheza yake ni ile ya kukaa nyuma kidogo ambako kwa sasa wanaingiliana na Keita, nadhani kuna jinsi wanatakiwa kudefine roles zao vizuri, ikibidi yeye pia awe anakaa mkao was kuchungulia goli (around offside line) ili ikipenyezwa inamkuta.
Ni kweli Majukumu ya Firmino Yamefinywa Na K8 that is why anaonekana Kukosa Majukumu Kwa Sasa.
Kwann sturridge asipewe muda na yy mana mech 3 goli 3Natamani sana aanze na yeye kukaa analichungulia goli, ili afanye kazi ya kufunga pia.
Kazi aliyoofanya ya kuwalisha mipira kina Salah imepata bosi mpya.
Na yeye aingie kwenye kundi la kulishwa.
Kwann sturridge asipewe muda na yy mana mech 3 goli 3
Kweli kabisa Keita anarahishisha kazi ya hawa ma forward...Firmino ndogo kipaji kipo atakaa sawa tu..japo umbea kwamba Barcelona wanamtaka na amekanusha...
Kua na Keita kunawafanya hata wasichoke kama zamani....natamani nione Combination ya Fabinbo, Gini na Keita namna watakavyo cheza pengine itakua bora na kuleta mabadiliko sana...
Hahahahah sijui jamaa anamaanisha nini hallow, mbona simple calculation tu unshindwaje kumtumia mtoto uliyemzaa!!Watu tuwasajili, tuwalipe, then utukataze kuwategemea!
Mkuu usipojiangalia ligi itaisha hivi hivi, wewe unakaanga sumu wenzio wanazila kama catalyst.
Hahahahah sijui jamaa anamaanisha nini hallow, mbona simple calculation tu unshindwaje kumtumia mtoto uliyemzaa!!
Ila kwa kocha fundi kama Klopp lazima najua atafanya kitu na tuweze kumuona Bobby tunaemjua. Jamaa anajua kubadilisha wachezaji waka adapt kwenye nafas ambazo hawakuwa wakicheza mwanzo.Nilichokiona kwa Firmino ni kama bado hajaipata role yake vizuri kwa sababu Keita anafanya baadhi ya kazi alizokuwa anafanya yeye, angekuwa pure striker huu ulikuwa ni msimu wake wa kutupia nyavu make mlishaji yupo.
Sasa yeye cheza yake ni ile ya kukaa nyuma kidogo ambako kwa sasa wanaingiliana na Keita, nadhani kuna jinsi wanatakiwa kudefine roles zao vizuri, ikibidi yeye pia awe anakaa mkao was kuchungulia goli (around offside line) ili ikipenyezwa inamkuta.
Kweli Kop, unajua DS15 ana bahati sana ya kufunga na harembagi mbele ya goli. Tatizo lake pancha nyingi. Ila kwa ratio ya goals per minutes played (goals per game) jamaa ana return nzuri sana.Kwann sturridge asipewe muda na yy mana mech 3 goli 3
Ila kwa kocha fundi kama Klopp lazima najua atafanya kitu na tuweze kumuona Bobby tunaemjua. Jamaa anajua kubadilisha wachezaji waka adapt kwenye nafas ambazo hawakuwa wakicheza mwanzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa kocha fundi kama Klopp lazima najua atafanya kitu na tuweze kumuona Bobby tunaemjua. Jamaa anajua kubadilisha wachezaji waka adapt kwenye nafas ambazo hawakuwa wakicheza mwanzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ox nae akirudi itakuwa pasua kichwa
Ni changamoto kubwa kweli kweli. Ila kufikia huku kuwa na player zaidi ya mmoja katika kila position inaonyesha kuwa sasa tuna squad depth nzuri. Hii itatusaidia maana rotation itakuwa rahisi, akina Mo wakikomaa kwenye league zile game za mid week za UEFA au FA wanakula mkeka wanakiamsha tena Weekend kwenye League.Ox nae akirudi itakuwa pasua kichwa
Natamani sana aanze na yeye kukaa analichungulia goli, ili afanye kazi ya kufunga pia.
Kazi aliyoofanya ya kuwalisha mipira kina Salah imepata bosi mpya.
Na yeye aingie kwenye kundi la kulishwa.
Nilikuwa nimeshamsahau mzee wa amsha amsha, mbiyo mbiyo.
Kuna watu kama Henderson nawashauri waanze kuzoea tu kukaa bench.
vip fabinyo ni majeruhi au nn mbona hata bench sikumuona
Kwann sturridge asipewe muda na yy mana mech 3 goli 3