Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

PSG wana Cavani, Mbappe, Neymar na wengineo....Champions League walifika wapi !? Wakati LFC wametinga fainali. Wewe viipi !?
 
....tutacheza vizuri ili tubebe nini !? Chupa za maji ?
Klopp ana Bundesliga title mbili na na amecheza final mbili champions league na moja ueropa.
Aliondoka Dutmond baada management kuuza wachezaji hovyo akiwamo Lewandoski.
 
PSG wana Cavani, Mbappe, Neymar na wengineo....Champions League walifika wapi !? Wakati LFC wametinga fainali. Wewe viipi !?


Mimi Nimezungumzia EPL ambayo hata nafasi Ya NNE tumeipata Kwa Kuotea na Wala Sijazungumzia Champion League kwani Ninajua CL Ni game of Chance na wala si Ligi ya Mzunguko kama Ligi Kuu.

Halafu Mpira Hauchambuliwi Hivyo Mkuu..
Kwakuwa Brazil Haikufika Nusu Fainali World Cup haimaanishi Kuwa Delle Alli Ni Bora Kuliko Coutinho, Neymar, William, Casemiro na Fernandinho[!B].
 
...shida yako unajifanya mjuaji saana !
Sijui uskauti uliufanya wapi ?!
 
I've heard that Lallana is out again.,, these English players sjuy wana matatizo gan.. Sturridge anaeza akafata nae soon..

BTW!! namuombea sana Ox awahi kurecover kuliko tunavotegemea..he is really important kwenye squad
 
...shida yako unajifanya mjuaji saana !
Sijui uskauti uliufanya wapi ?!


Jibu Hoja sio ukurupuke tu! Mimi Nikizungumza Kitu Huwa Nimeshakifanyia tathmini na si Kwa ujuaji Kama unavyodai.

Tatizolenu Munahadaliwa Kwa Kufika Fainali Ya Champion League Ndiyo Munaona Tayari Tumeshakuwa Mabingwa Wa dunia na Tutachukua Kila Kombe tutakaloshiriki huku Mukisahau Kama EPL sio CL kama umfunge Mmoja ili usonge mbele Bali Kuna Timu 19 unatakiwa uzifunge ili uwe bingwa.

Nadhani Munahadaliwa na Rundo la Wachezaji tulionao mukahisi tuna kikosi Kipana, basi Ligi ikianza ikianza tu utakijua Ninachikamaanisha.

Hivi sasa Tayari Ings, Matip, Lallana na Grujic Ni injury Hata Ligi haijaanza..
Kuna OX injury msimu mzima... Na Sturridge sasahivi atafuatia.

Lakini Kumbuka Kuwa Sijasema Hutewizi Shinda chochote! Mimi naamini Kwenye Mpira lolote laweza Kutokea! Bali nimesema Hatujawa na Kikosi Cha Kujihakikishia Ubingwa.
 
no unaziunazi point hii imekaa kisoka zaidi......bigup

FOOTBALL
 
Central defenders tunahitaji mmoja mwingine
VVD aliumia tu basi ni msala

Ni Kweli tunahitaji Central defender lakini Kwa Window hii Klopp Hatosajili Defender.

Na Kitu Chengine Ni Kwamba Baada Ya Croatia Kufika Fainali Kwenye WC basi Liverpudlians Wengi Wamekuwa Blinded na Kuamini Kuwa Lovren is the Best Defender in the World Kama alivyojiita Mwenyewe.

Lakini Subiri Ligi ianze Muda utawaprove watu Wrong Kama Walichokiamini Sio Sahihi.
 
"Maybe Liverpool fans are so angry against me because I said two times no to Liverpool."

Everton signing Lucas Digne responds to tattoo talk and says it's not a reference to "You'll Never Walk Alone".


Watu wengine bhana!!! Sasa maneno yote hayo kumbe umeishia Kwa Everton? 😀😀😀
 
.....uhakika upo kwa Allah swt tuu !
 

Naamini kabisa Klopp anaijua vizuri timu yake kuliko wewe ndugu yangu

Acha kocha afanye kazi yake,sometimes you are too negative brother
 
Naamini kabisa Klopp anaijua vizuri timu yake kuliko wewe ndugu yangu

Acha kocha afanye kazi yake,sometimes you are too negative brother

Kwenye Kocha Kufanya Kazi Yake Mbona Nipo Fair! Na Ndiyomana Hunikuti Hata Siku Moja Kukosoa Tactics za Klopp Kwasababu Ninamkubali Yupo Vizuri Sana Katika Ufundishaji. Kwahiyo sina mashaka Uwezo Wa Klopp.

Mimi Mara Nyingi Huwa Napishana Kiswahili na Klopp Kwenye Squad tu Kumuamini Mchezaji ambaye Anaonesha Waziwazi Kuigharimu timu! Hapo Ndiyo utata unapoanzia.
 
Kabisa........ tunajifanya tunajua sana timu mpaka ina kuwa too much

Si Kuwa tunajua sana Bali tunaongelea ukweli!

Nakumbuka Msimu Wa 2016/17 tulikuwa tukichambua na kulalamika hapa Kuwa Klopp ana Liverpool mbovu haiwezi kushinda chochote Ni lazima asajili. Kuna watu Wakatulaumu sana na kutuita eti tunajifanya tunajua Kuliko Klopp! Watu hao hao Wakataka Kutuaminisha eti tuna Kikosi bora cha Kushinda Makombe na Wakawa Wanajitangazia Kuchukua Ubingwa Wa EPL.
Baadae walipoona Hali inabadilika Wakajitangazia Kuwa Bingwa Chelsea wao Ni Wa Pili...
Walipoona Mambo Yanazidi Kuwa Magumu Wakajitangazia Wao Watakamata nafasi ya Tatu...
Hatimae tukaambulua Nafasi ya Nne tena Kwa Mbinde.

Kumbuka Kwa Kipindi hicho Kikosi Chetu Kilikuwa:
Mignolet
Clyne
Lovren
Matip
Moreno
Gini/Can
Henderson
Lallana
Mane
Firmino
Coutinho


Tulipokikosoa Kikosi Hicho Mulitwambia Tunajifanya tunajua Kuliko Klopp..

Sasa Mbona Klopp hakuendelea na Msimamo wake Wa Kuwa ana Kikosi Bora Kama Mulivyoamini Nyinyi? Si ameendana na Mawazo yetu (Katuprove right) na Amefanya Usajili Wa Kukibadilisha Kama tulivyotaka!!!

Sometimes sio kila tunachoongea Mutukusoe mengine Huwa tupo sawa!

Namshukuru Mungu Kuwa Tulichokiongelea Misimu Miwili iliyopita Kilikuwa Sawa na Leo kila Mtu amethibitisha Kuwa Klopp Kaibadilisha Timu tuliyoilalamikia kama Ni Njia moja ya Kututhibitishia Kuwa Tulikuwa Sahihi.

Kwani Kama Hatukuwa Sahihi Hawa kina Sallah, Fabinho, Keita, VVD, Robertson, Alisson na Xhaqiri wasingekuwa na Haja Ya Kupoteza zaidi ya £300m Kwa Kuwasajili.

Na ninaamini Na huyu Lovren tunayemlalamikia Karibuni Klopp atatuprove right Kwa Kusajili beki Mpya.
 

Ni kweli beki mpya wa kiwango cha juu anahitajika
 

Lovren has improved sanaa in recent months aisee
It’s disrespectful to write him off while hata hajaripoti kwenye preseason training

Uliangalia final yetu against Real Madrid? Kama sio Lovren siku ile tungefungwa goli nane kwa moja!

Hakuna beki asiyekosea,

Hatusajili malaika hata tukisajili beki gani atakosea tu at some point

Give Lovren a break Man!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…