Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Henderson wil never be as SG, hizo ni ndoto....yule ni mwanariadha na ucaptain wa Liverpool aliuapata kwa utaifa wake i guess...ila sio kwa kazi kazi...Man, niliona mtu ametweet kuwa Henderson is a better captain for LFC kuliko alivyokuwa SG, sababu yake ni kuwa jamaa anashout sana kwa refs na kupoint a lot. hahahahahaha
Henderson completed only 22 passes against Colombia and had less touches than keeper wao Jordan Pickford, it means Pickford distributed the ball zaidi ya the Controlling Midfield, Henderson but kwakuwa alikuwa anashout sana kwa referee na kupoint backwards kila wenzake wakiwa na mpira, he is a better captain than SG.
tells you a lot, kwanini WIJNALDUM (a number 10 turned into b2b midfielder) was a standout midfielder kwa upande wa LFC against Madrid huku akisaidiwa kupoint na Captain Henderson, whilst a 23 years old SG inspired the greatest comeback in UCL history against a full packed AC MILAN.
Duu sina imani na Karius kabisa bora hata angemfuata Kepa Spain kama hao targets wameshidikana...Baada Ya deal la Allison na Oblack kutokuonesha dalili za Kufanikiwa, Ni Wazi Kuwa Karius ataendelea Kuwa Our first choice GK katika season hii. Najaribu Kujiaminisha Kuwa Bado Nampa Nafasi (Second Chance) Msimu huu Wa Kuweza Kutuprove wrong.
Kuhusu CB pia Kuna uwezekano Wa Kutokuwa na Signing yoyote Kwani Tukumbuke Kuwa Long term solution ya Klopp Ni Joe Gomez katika CB. But it depends na kile atakachomuonesha Klopp this pre-season.
Baada Ya deal la Allison na Oblack kutokuonesha dalili za Kufanikiwa, Ni Wazi Kuwa Karius ataendelea Kuwa Our first choice GK katika season hii. Najaribu Kujiaminisha Kuwa Bado Nampa Nafasi (Second Chance) Msimu huu Wa Kuweza Kutuprove wrong.
Kuhusu CB pia Kuna uwezekano Wa Kutokuwa na Signing yoyote Kwani Tukumbuke Kuwa Long term solution ya Klopp Ni Joe Gomez katika CB. But it depends na kile atakachomuonesha Klopp this pre-season.
H
Henderson wil never be as SG, hizo ni ndoto....yule ni mwanariadha na ucaptain wa Liverpool aliuapata kwa utaifa wake i guess...ila sio kwa kazi kazi...
Lovren anavaa hiyo jezi namba 6 hadi kwenye timu ya taifa. Inaonekana anaipenda hiyo jersey kuliko zote pengine labda kabla ya ubeki alishakuwaga kiungo wakati wa nyuma, siunajua kuna wachezaji wameshacheza namba nyingi
Duu sina imani na Karius kabisa bora hata angemfuata Kepa Spain kama hao targets wameshidikana...
CB pia ni muhimu, to win any silverware msimu ujao tunahitaji kila idare iwe kamili sio kunahatisha mara Karius au Migo...
Man city Bravo aliwapoteza msimu.uliofuata hawasubiri ni chap usajili..
Klopp hii section ya ulinzi na kila asipoipa priority tutakua tunasidikiza wengine...
Klopp aache kiburi ,lakin soka halichezwi chumbani naamini atarud sokoni kwa aibu kutafuta kipa,Mkuu Karius anarejea Kuwa GK wetu Namba Moja Kwani Hata Klopp tayari ameshakubali Kuwa Errors alizofanya Karius vs Madrid Ni Sababu ya [HASHTAG]#Concussion[/HASHTAG]! Klopp Leo ameongea Hivi ↓↓
“Whoever had a concussion knows there is not one way how it feels, there are different ways. He didn’t feel it obviously. He had a knock on his head and he felt that but he didn’t know he had a concussion. That’s how concussions are. The guy who has it is the last one to be aware of it probably.
“With all the intensity of the game, adrenaline and the disappointment after the game, nobody really thought about that. I needed a few days, to be honest, to accept the fact and deal with the situation [of losing the final]. It was not that easy.
Klopp aache kiburi ,lakin soka halichezwi chumbani naamini atarud sokoni kwa aibu kutafuta kipa,
Karius sio kipa wakudaka liver, ana udhaifu mwingi sana, hata malejendar wa liver walisema hili kabla ya mech na madrid,
Ni nadra sana kutoa 70-80 hata 50 kwa golikipa, hata wamiliki wapo sahihi huwezi kutoa hela yote hiyo kwa goli kipa, mimi sio mshabiki wa liver,ila naangalia sana mechi zenu, toka aje VVD amebalance sana beki yenu, hivo hamuhitaji World class golikeeper mnahitaji hata average kipa tu,Mkuu Kwa Hili Nadhani Klopp Halaumiki.
Klopp yupo Tayari Kufanya Usajili Wa Kipa lakini Wamiliki Wa Timu [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] ndiyo Hawapotayari kusacrifice £70 to £80m Kwa ajili ya GK that is why Wameamua Kukaa Pembeni Kwa Alison na Oblak ambao ndoyo ilikuwa target ya Klopp.
So, Kutokana na Klopp Kuwakosa Hao ndiyo kaamua Kubaki na Karius Kwani Kwa sasa Ukitoa De Gea, Ter Stegen na Court basi Hao Alison na Oblak ndiyo World Class GK. Si Rahisi Kwa Mtu Kama Klopp Kumreplace Karius Kwa GK from Midtable team Ambao wengoli wao Ni Mignolet type.
Anatetewa ila mwisho wa siku ,klopp atarud sokon beleive meJamani Karius anatetewa sana !
Asamehewe.
Kaanza Dea Gea, sasa Mosrella
Mistake ya Mosrella naona Karius atatamani aende nayo AnfieldAnatetewa ila mwisho wa siku ,klopp atarud sokon beleive me