Good comment....Hao wasio wajinga ndiyo akina nani?Kosa la Hendo ni nn ?
Alipokuwa anaumwa akakaa nje Captain Hendo tulishinda games ngapi?
Klopp anampa games,team ya Taifa anapewa games lkn nyie mnampinga!
Nani hapa anajua soka managament hata 1/100 kwa Klopp anayempa games Hendo?
Endeleeni kuhesabu trophyless seasons na Klopp wenuKwa hiyo hata aki fail medical bado achukuliwe?
Klopp anajua haya mambo kuliko sisi wote hapa!
Nani alijua kama Salah ata hit?
Nani alijua kuwa front 3 wetu watafunga mabao mengi hivi?
Klopp akimkosa Fekir atamleta mwingine!
Who is Fekir ktk soka?Fekir didn't fail medical
Btw... Hili povu kafulie nguo mkuu
Losing fekir signature will not leave a good mark kwenye hii tw
Trash trophy-FAEndeleeni kuhesabu trophyless seasons na Klopp wenu
Wazee na "Next season"... Hata Tottenham wanaamini hivyo hivyo tu "Next season"Trash trophy-FA
I will not celebrate at all!
We fail short at UCL and will be back I promise you!
Wewe umechukua FAWazee na "Next season"... Hata Tottenham wanaamini hivyo hivyo tu "Next season"
Do you even remember last trophy you won? Sasa hivi linaitwaje vile.. Keep on dreaming winning ucl tutakuamsha Klopp akiondokaWewe umechukua FA
Ehehe heri nisubiri hata miaka nichukue UCL kuliko trashest cup FA
Fekir is a brilliant soccer player and a perfect replacement to coutinhoWho is Fekir ktk soka?
Kwa nn unatuaminisha kumkosa Fekir ndiyo mwisho wa Klopp?
Kichekesho cha mwaka hiki!
Fekir operesheni nyingi za goti hazijamuacha salama,na bei ilitakiwa ipungue sababu ni liability sana na namuunga mkono Klopp!
Klopp is a genius atakuja mwingine atamfundisha na tutamshangilia kama tunavyo mshangilia Robo sasa!
Naweza weka hapa mlicho andika wkt Robo anasajiliwa matusi yenu na kumuita Klopp majina mabaya,lkn mbona sasa mmenyamaza?Wkt anasema Lovren ni beki mzuri mkawa mnamtukana mbona sasa slowly mmeanza kumuelewa?
Niweke matusi yenu kwa Klopp wkt anamleta Robo?
Hao wasio wajinga ndiyo akina nani?Kosa la Hendo ni nn ?
Alipokuwa anaumwa akakaa nje Captain Hendo tulishinda games ngapi?
Klopp anampa games,team ya Taifa anapewa games lkn nyie mnampinga!
Nani hapa anajua soka managament hata 1/100 kwa Klopp anayempa games Hendo?
He failed his medical.
Reports stating Fekir has asthma. Liverpool accidently opened their trophy cabinet and it worsen Fekir's condition due to the dust accumulated in the trophy cabinet. This resulted in him failing his medical.
Mtu mwenyewe unaitwa Ntalukwilasa[emoji1]Stupidity huna fact kaa kimya
Kwa hiyo hata aki fail medical bado achukuliwe?
Klopp anajua haya mambo kuliko sisi wote hapa!
Nani alijua kama Salah ata hit?
Nani alijua kuwa front 3 wetu watafunga mabao mengi hivi?
Klopp akimkosa Fekir atamleta mwingine!
Ivi wanasema henderson yuko vzr wanamuangalia wapi, kama klopp yeye kaenda kwa fekir kwan ni kwamba hakujua kama kuna henderson, klopp needs trophies he has realize that without good & class players like fekir can't hold those trophies so stop making things so simple you cant win a trophy with ox, henderson, minler & Gin we need good class players Liverpool's playing the same stories of Lemmy & vvd initially !! Lets get fekir & win trophies note: the only player playing like fekir is james rodriguez so where can we get a class player like him??
Sio kwa povu hilojiheshimu basi we kiazi hizo ni element za kibwabwa sasa kinachokupanikisha hapo nini.....jukwaa la kwako hili ?au hujui sheria za JF? nenda kazisome then urudi sio unaropokaropoka tu bumbaaaaaaaaaaav