hatuna captain pale Henderson hamna kitu na back passes zake zisizo kuwa na maana kuna backpass ailipiga kwenye final tulishwa pigwa goal tupo kwenye chance nzuri ya kwenda kuscore mane speed akarudisha mpira nyumatulikuwa tunamiss a total cunt in the middle, MFs wetu wote walikuwa soft, kwenye Final nadhani uliona the only player who confronted Ramos baada ya kumuuza Salah alikuwa ni Mane tu.
now we have two Cunts in the middle, ambao wanaweza kupewa red cards and at the same time kukutafutia wewe cards.
Man City wana Fernandinho
United wana Herrera (this man is a total nuisance) and of-course Fellaini
Spurs wana Wanyama na Delle Ali
Arsenal wana Xhaka na Wilshere
Chelsea wana Kante (well hes not a cunt, but he'll make sure hupati space ya kucheza mpira)
you need these type of players to win you games mambo yakiwa yanaenda vibaya uwanjani.
Liverpool have reportedly had a bid accepted by Barcelona for striker Ousmane Dembélé. (Source: Don Balon)
hatuna captain pale Henderson hamna kitu na back passes zake zisizo kuwa na maana kuna backpass ailipiga kwenye final tulishwa pigwa goal tupo kwenye chance nzuri ya kwenda kuscore mane speed akarudisha mpira nyuma
I don't see us buying a new Goal keeper!!
Matatizo yataendelea hapa. Labda our opponents waendelee kukosa shots on target fr!!
kipa i think pia Kepa spain, au wa AC milan au wa Chelsi amegoma kuongeza mkataba hao dau lao litakua sio kama la Allison.OBLAK release clause is 90m
Monchi will want more than 60m for Allison
and i dont want my Club to employ Jack Butland, he is not better than Mignolet and his stats are not any better than Karius's.
if Klopp wants to invest more on Fekir and Dembele, then sitojali kama hatosign a GK this summer.
And its better kutosign keeper yoyote, kuliko kutupa 30m kwa Jack Butland, i mean he was a good GK kabla ya ile injury yake, but tangu arudi amekuwa tofauti sana, hes not an upgrade to any of our GKs.
kipa i think pia Kepa spain, au wa AC milan au wa Chelsi amegoma kuongeza mkataba hao dau lao litakua sio kama la Allison.
Mabeki tunahitaji mmoja maana Lovren pasua kichwa mechi usiyotegemea anakuangusha kama vs Totenham Wembley au Vs Manure Trafford..
Mbele aje Fekir, Lemar au Mbrazil Talissca ndogo kwa uchezaji wa Klopp angefaa sana na sio bei kama Lemar..
All in All in Klopp we Trust
yes man,
not naturally, he was just covering that role kutokana na shortage ya MFs kwenye squad, and sometimes alikuwa anacheza kama number 6.
he's a natural number 10.
hatuna captain pale Henderson hamna kitu na back passes zake zisizo kuwa na maana kuna backpass ailipiga kwenye final tulishwa pigwa goal tupo kwenye chance nzuri ya kwenda kuscore mane speed akarudisha mpira nyuma
Donnarum dirisha hili sijaoni Real wala PSG wakimtaja kumhitaji ila bado mapema sana....ikiedelea hivyo bei yake itashuka.TC wa Chelsea wants to go back to Spain and pia sioni Chelsea wakikubali kutuuzia a world class talent kama TC. itakuwa ngumu sana
Donnarumma will also leave for a huge price, pia his agent is Raiola. last summer he was quoted at 70m, sijui kwasasa kama price tag yake imepungua.
Navas wa madrid anaweza akapatikana kwa right price kama Madrid wakiamua kumsign Allison or TC. he's a decent GK, not very good but decent.
it seems Klopp is planning another season with VVD, Lovren, Matip and Klavan. mpaka sasa sijaona serious link yoyote ya new CB, but you never know. ila kama budget yote itatumika kwa Fekir/Guedes na Dembele then i'm fine with that, as long as tuna a very reliable DM right now.
Donnarum dirisha hili sijaoni Real wala PSG wakimtaja kumhitaji ila bado mapema sana....ikiedelea hivyo bei yake itashuka.
Kepa wa Bilbao ndogo ni kipa mzuri na he keep getting better..Real walionyesha interest Janauri, sasa bila Zizou sijui kama watafuatilia...
Butland wa Stoke japo alionyesha umakini huku wakishuka daraja sioni kama ni upgrade ya zaidi tulionao..
Kloop kwa mabeki hawa sidhani kama tutakua na kikosi bora, ku balance team auze dead woods wote Markovic, Lallana, Mignolet, Matip n.k ili apate pesa ya kusuka kikosi cha kuleta ushindi...

yeah man!last time nilisoma sehemu kuwa we'll be looking for a young CB, but mpaka sasa kwenye backline naona links za Butland tu.
na Butland to LFC ni serious story, heard we tried to sign him in january but stoke didnt want to let him go at that time.
it will be a very bad move kama tukimsign Butland. very bad move.