Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gini namkubali kwenye dribling, ila ananichosha tu kwenye kupiga pasi za mashambulizi hawezi halafu ni mzito kuchukua maamuzi sahihi kwa haraka

his role aliyokuwa anacheza ilikuwa inamlimit.

kazi kubwa ya Gini ilikuwa ni kuifanya team iwe na control na mpira (kukaa na mpira na kupunguza nguvu za counters za adui) thats ilikuwa ni mara chache sana kumuona akisogeza zaidi mbele au kucheza through balls za mara kwa mara.

sasa hivi atakuwa na freedom kubwa sana, and he'll enjoy the game to the fullest.

he's a very good player.
 

FSG are the main problem. YES.

but now nadhani wameona kile anachoweza kufanya Klopp akiwa bugdet ndogo, na naamini watam-back kwasasa, kwasababu LFC kufika final ya CL nao pia wanapata sifa kubwa sana na pesa zinaongezeka, it means uwekezaji wao unawalipa big time kwasasa, back to back CL footie, CL finalists, ni hela nyingi man. they better start to back him vizuri.

LOL, suala la kuuza wachezaji lipo kwenye DNA ya FSG man, they will never stop selling players, we are so close na kule tutakotaka kufika, hii signing ya Tavarez imeprove hicho kitu, sasa kama FSG watataka kuharibu project ya Klopp kwa kuuza key players kila baada ya two seasons, then nadhan Klopp will walk kama alivyofanya kule Dortmund.

Man, Mourinho tangu aondoke Porto, hajawahi kuwa na kikosi cha ujanja janja, hii team yake ya Utd imekamilika vizuri sana, team ina more than 3 world class talents, Top Class Stiker, top class youngsters etc huwezi kuiita ya kijanja janja. United, players kama Mata, Shaw, Martial etc are overlooked wakat at Liverpool Klopp is forced to sub on Adam Lallana in the CL final. at LFC klopp has Solanke on the bench while Mou has Antony Martial, hiyo siyo team ya kiujanja janja man. its a perfect team ambayo manager ameshindwa ku-utilize players.
 
Kile kikosi cha 2013/4 kilikuwa kinahitaji marekebisho kidogo tu na kumaintain key players naamini kingechukua Epl within 2 seasons lakini walichokuja kukifanya FSG wanakijua wenyewe. Mkuu usiwe unapotea sana
 


Kwa hiyo alikuwa kama natural 8 sio ?
 
Hatua imekusaidia nn...utabaki kushangilia kushinda mechi na si makombe..
 
Wenger alichofail si masuala ya foundation bali ni mfumo wa soka la kisasa...alipenda sana vya dezo..
kumbuka arsenal ya 2003/2004 na 2004/2005 aliijenga yy mwenyewe na wala hakujengewa foundation na mtu mwingine..
 
ok sawa mkuu
 
acha uwongo wewe mbona LEICESTER kalibeba ikiwa na drinkwater na kante?usiseme "HAKUNA" unakosea sana ,imekuwaje SG na ALONSO hawakubeba EPL na walikuwa VIZURI SANA ?
THIS IS SOCCER BROTHER
 
namuona T.BAKAYOKO mwingine hapa,maana 98% ya players waliotoka LEAGUE 1 ya france wameshuka viwango kidogo sijui EPL ngumu ama nini refer GIROUD,MARTIAL,BAKAYOKO,IBRAHIMOVIC, ila wakitoka EPL kwenda kule wanashine mfano DEPAY,BALOTTELI,DI MARIA,PAYET n.k
 
Aongeze beki kama wawili hv.. na striker 1. Epl ijayo ni moto.
Klop kocha poa sana hata mm wa man u namtamani.
Kama hapo kwa Fekir+Keita+Fabinho ni moto sana
 


Unapofanya Comparison usiwe Biased!
Pia Wako Waliotoka Kule na Wakashine Zaidi Kwenye EPL na Kwengineko.

Drogba → Chelsea
Malouda → Chelsea
Essien → Chelsea
Evra → Man United
Wiltord → Arsenal
Benzema →Real
Ronaldinho →Barcelona
Ribery → Bayern
Others → ........


Kwahiyo Usijiaminishe tu Kuwa Yoyote anayetoka League 1 ataishia Kuflop.
Fabinho Anaweza pia Kushine.
 
acha uwongo wewe mbona LEICESTER kalibeba ikiwa na drinkwater na kante?usiseme "HAKUNA" unakosea sana ,imekuwaje SG na ALONSO hawakubeba EPL na walikuwa VIZURI SANA ?
THIS IS SOCCER BROTHER


Kante/Mahrez/Drinkwater Ndiyo Sawa na Henderson/Millner/Lallana??

Hapo Bei Ya Mahrez Pekee Man city wameshafika £60m sasa sijui ya Kante itakuwaje manake Yupo juu Kuliko Mahrez??

Sasa ichukue Bei ya Drinkwater ambayo Ni ndogo Kuliko hao wawili Je Hao Millner/Henderson/Lallana wote Kwa Pamoja wanaweza kuifikia Hata hiyo thamani ye Drinkwater Pekee Kwa soko la sasa kulingana na Viwango vyao vya sasa?

Nimelinganisha thamani kwasababu Thamani Ya Mchezaji inaendana na Kiwango Cha Mchezaji.

Kama Hujui Combination hii Ya Mahrez-Kante-Drinkwater walipokuwa pamona Basi Walikuwa na uwezo Wa Kuleta Mafanikio Kwenye Timu yoyote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…