Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Records of real Madrid in UCL
1.Real Madrid wametwaa kombe Mara 12 sawa na idadi ya timu zote za uingereza
Liverpool 5
Man u. 3
Nottingham forest 2
Aston villa 1
Chelsea 1
Wana wivu wa kike kama demu wa Martin Kadinda kudai anachukizwa na kupokonywa mpenzi wake na mwanaume mwenzake Bora angepokonywa na mwanamke.Aliekuwa na Haki Ya Kumzuia Madrid Si Liverpool Pekee! Timu zilizoshiriki zilikuwa 32 ambazo Zote Zilikuwa na Haki Ya Kumzuia!
Hata Misimu miwili iliyopita Liverpool Hakushiriki lakini Arsenal alishiriki na Real Madrid Akabeba Kombe Mara Mbili mfululizo Kiboya! Kwanini Hamukumzuia asibebe?
Records of real Madrid in UCL
1.Real Madrid wametwaa kombe Mara 12 sawa na idadi ya timu zote za uingereza
Liverpool 5
Man u. 3
Nottingham forest 2
Aston villa 1
Chelsea 1
Very soon itabidi uEDIT, FVCK UCL. Tarehe 27 nitakukumbusha!!
A proudly GOONER, you are damn right mi ni Arsenal.Na ujanja wako wooote wewe ni Arsenal!
Nimekuona kule jukwaa la the Gooners unalalama kucheza futuhi
Mtasubiri sana
Hapajawahi beba labda waliibe,invincibles walifuka finalize 2006 wakatandikwa na Barcelona.Umeisahau Arsenal, Tottenham na ManCity kwenye list
A proudly GOONER, you are damn right mi ni Arsenal.
Kwa comment yako hii inaonyesha wewe umafuataga timu inayoenda fainali, ni fake fan!!
Hapajawahi beba labda waliibe,invincibles walifuka finalize 2006 wakatandikwa na Barcelona.
Fuatilia na mimi nimejiunga jf lini na jukwaa la arsenal na michezo kwa jumla niko vipi.Naona unavamia maulid yasiyokuhusu
Fuatilia huu uzi since 2006 ndio utanijua mimi ni Koppite wa namna gani
Arsenal is old news
It’s a mid table team
Fuatilia na mimi nimejiunga jf lini na jukwaa la arsenal na michezo kwa jumla niko vipi.
Sikimbiagi kisha natokea nusu fainali au fainali.
Mimi ni mwanamichezo wewe, usinichagulie jukwaa. Hata jukwaa la leicester nachangia kule. Usiwe one dimensional sana kisa wewe ni liver, mbona unaonyesha utoto, liver fans wengi ni watu wazima na wanaojitambua, nakushangaa wewe kufura mwanamichezo mwingine kuwa jukwaa la liver.Ungekuwa na mapenzi na ArseAnal usingeshinda kutwa nzima hapa The Kop
Inaonyesha ni jinsi gani hata support ya timu yako kibonde huna
Mimi ni mwanamichezo wewe, usinichagulie jukwaa. Hata jukwaa la leicester nachangia kule. Usiwe one dimensional sana kisa wewe ni liver, mbona unaonyesha utoto, liver fans wengi ni watu wazima na wanaojitambua, nakushangaa wewe kufura mwanamichezo mwingine kuwa jukwaa la liver.
Na pia, liver siichukii. Ni kwamba kwa msimu huu na pia hata walipolikosa kosa kombe la epl pale gerrard alipojikwaa, mashabiki wa liver huwa ni kero hivyo nami huwa nakuwa dhidi ya hao mashabiki na sio timu yenyewe.
a big NO for me, chief.Just thinking aloud....Nimesikia kuwa Yaya Toure anaondoka city mwisho wa msimu.For the sake ya kuongeza depth kwenye kiungo nilifikiri kama akija inaweza kuwa nzuri.....au?
What do you think?