balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,701
- 15,438
Unapocheza Estadio Olimpico dhid ya wazee wa comeback lazima ujue namna ya kucheza nao.Ila Dzecko mtu mbaya.Daaa ila jana tulicheza mpira mbovu xana,wachezaji walikuwa hawakabi ukicompare na mechi ya kwanza sjaelewa tatizo lilikuwa nini?
Hivi we jamaa unajiskiaje wenzio wanabishania timu zao halafu wewe unambishania jirani?Very soon itabidi uEDIT, FVCK UCL. Tarehe 27 nitakukumbusha!!
ulianza kuiombea liver majanga tangu kwenye group stage hvyo hatukushangai kwa chuki zako.Nadhani wewe ni kama fisi anayemsindikiza binaadam akitegemea mkono wa huyo mtu utaanguka ili huyo fisi apate kitoweoVery soon itabidi uEDIT, FVCK UCL. Tarehe 27 nitakukumbusha!!
Mbona unarukua 99 Man alichuka ubingwa, Haikupita hata miaka 10 tokea Madrid achukuwe ubingwa? Kila la heri fainali1958....madrid winner
1968 miaka 10 baadae Man u bingwa
1978.miaka 10 baadae Liver bingwa
THEN
1998 madrid bingwa
2008 miaka 10 baadae Man u bingwa
2018 miaka 10 baadae.......(jaza mwenyewe)
Sante sana shemeji... hawa AS Roma jana walitaka kunikabidhi kwa ziraili.
mmepenya kwa mbinde kweli
Nope jua kuna papa mpya now kila liver akichukua ubingwa na bendicto kasepa now kuna francis so lazima tuchukue: In 1981 Liverpool were European Champions and the Pope died
2005 Liverpool were crowned Champions of Europe and the Pope died,: Its up to Real Madrid to save the life of the current Pope
Daaah Madrid wanachukua UCL kiboya namna hiii
Kwahiyo ww umemzuia?Aliekuwa na Haki Ya Kumzuia Madrid Si Liverpool Pekee! Timu zilizoshiriki zilikuwa 32 ambazo Zote Zilikuwa na Haki Ya Kumzuia!
Hata Misimu miwili iliyopita Liverpool Hakushiriki lakini Arsenal alishiriki na Real Madrid Akabeba Kombe Mara Mbili mfululizo Kiboya! Kwanini Hamukumzuia asibebe?
Naomba utunze hya maneno yko tujekukuuliza baadae ulitamka ukiwa unaakili timamu au ulikuw umetekwa?Daaah Madrid wanachukua UCL kiboya namna hiii
Kiev loadingggggggggg
Kwahiyo ww umemzuia?