Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
1958....madrid winner
1968 miaka 10 baadae Man u bingwa
1978.miaka 10 baadae Liver bingwa
THEN
1998 madrid bingwa
2008 miaka 10 baadae Man u bingwa
2018 miaka 10 baadae.......(jaza mwenyewe)
Mkuu umenena vyema ni kwel lovren anakatika Sana mpaka Kuna muda VVD anaonekana kama siyo bora because of Lovren, inabidi lovren apate mtu wa kum-challenge ili ajue majukumu yake au apatiwe mbadala wakeMkuu Sio Kwamba TAA Ni mbovu ila kama utafatilia Mechi Nyingi Za Liverpool anapocheza Na Timu Kubwa Basi Upande Wetu Wa Kushoto (VVD + Robbo) unakuwa Salama Kwa Sababu Uko imara Maadui Huwa Hawashambulii Kupitia Upande Huo.
Lakini Upande Wetu Wa Kulia (TAA + Lovren) Ndiyo Unakuwa Main Target Kwa Wapinzani Wetu Na Wanaushambulia Mara Kwa Mara Kwasababu Wanajua Mlinzi Ni TAA tu! Wakifanikiwa Kumpita Yeye Basi Hana Cover yoyote Kwa Lovren hatabiriki atafanya Nini!
Kwahiyo sio Kwamba TAA Ni mbovu Wa Kukaba Bali Hule Ni mfumo maalum Wa Wapinzani wetu! Kwahiyo Hata Aje Acheze Beki Gani pale iwapo na Lovren ataendelea Kuwepo Upande hule Basi Maadui Hawataacha Kutumia Upande hule Kama Ni Njia.
Na vilevile Kumbuka Kuwa TAA Ni Majeruhi na Mechi Stoke Hakucheza wala Alikuwa Hapigi Mazoezi! Kwahiyo Jana Alijiforce tu Kwa ajili Ya Kuokoa Jahazi lakini Physical Fitness hakuwa Nayo.
Amen to this useful post.Liver is OK,is perfect in the right truck,relax and watch the beautiful game of the corks.Tunaenda kuiteka Dunia believe me.
Babuuuu poleee sana!!Wakuu nawasalimu. Sio kwamba sifuatilii yanayojiri... nafuatilia sana. Ila haka kaugonjwa ka presha dokta alinishauri nijitenge sana na mambo yanayonipa presha.
Hii timu yetu nilikuwa siipi nafasi hii... nilikuwa naihofia sana. Nimekuwa mtu wa kusubiri matokeo then nafuatilia mechi baadaye.... (mambo ya kujali afya). Natamani niende kinyume na ushauri wa daktari... niiangalie fainali live lakini naogopa. Naipenda Liverpool na wakati huohuo nayapenda maisha yangu kwa ajili ya wanangu...
Liverpool don't kill me yoooooo..... igweeeee...