Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada Ya Hapo Jana Kuumia AOC tumebaki Na Midfielders Watatu tu Hendo, Gini na Milner.

Tuombe Asije Akaumia au Kupewa Kadi Hata Mmoja Kati Yao.

Milner na Gini si injury Mara Kwa Mara! Lakini Hendo Kwa injury Haaminiki Coz Muda Wowote Utasikia kashapata injury.

Hata Hivyo Grujic Amesajiliwa [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] kabla Ya Kutolewa Kwa Mkopo! Hakuna Jinsi Ni Lazima Aitwe Kikosini Kwa Ajili Ya Back Up Kwani Hatuna la Kufanya Kabisa.
 
kwanza twakutana Stoke City wekedi hii Jumamosi hio gemu ya Chelsi tutakua tushampiga Roma kusubiri fainali Keiv hivyo morale kama.ilivyo sasa itakua juu mno...Chelsink pale pale kwao wanalala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…