Hahahaha loooh kuwa secret koppite hapana!! Haitotokea Ed n Edd nEddy eti inawezekana kweli? But we share the same colour, Red huwa haidanganyi so kwenye mambo ya kizalendo namna hii inatakiwa kuwa mzalendo 😀 😀You know that we know that you are a secret Koppite
YNWA!!!!
Hahahaha loooh kuwa secret koppite hapana!! Haitotokea Ed n Edd nEddy eti inawezekana kweli? But we share the same colour, Red huwa haidanganyi so kwenye mambo ya kizalendo namna hii inatakiwa kuwa mzalendo 😀 😀
[emoji16][emoji16] uzalendo Kwanza! AmenHahahaha loooh kuwa secret koppite hapana!! Haitotokea Ed n Edd nEddy eti inawezekana kweli? But we share the same colour, Red huwa haidanganyi so kwenye mambo ya kizalendo namna hii inatakiwa kuwa mzalendo 😀 😀
Refa kahusikaje hapo mkuu??Huyu refa akili zake kama zile za Mou, kamtoa Mane kaweka beki, moto unawawakia sasa.
Ha haaaa KochaRefa kahusikaje hapo mkuu??
Ni Tatu mzukaNaombeni matokeo wakuu
3 bila mkuuNaombeni matokeo wakuu
Hahahahah safi sana, wafungaji mkuu..!!Ni Tatu mzuka
Mane , salah na firminoHahahahah safi sana, wafungaji mkuu..!!
Hivi unajua point 70 msimu huu hamfikishi?
Hongereni ushindi mnono huu, Bou wamepeleka shambulizi lao la maana kuanzia dakika ya 84, mliwashika sana, lakini sijui inakuwaje wafungaji ni hawa watatu tu siku zote.