This will b a joke! Maruwani Fellaine kuvaa uzi wa Liverpool. Wapo wachezaji ambao ni top class na wa bei nzuri. Sako la Amerca kusini na baadhi ya nchi za ulaya kuna wachezaji wazuri tena wenye ndoto ya kucheza Liverpool.Tetesi
Liverpool wameandaa mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya mchezaji wa safu ya kati wa Manchester United Mbelgiji Marouane Fellaini, huku Paris St-Germain na Monaco pia wakionyesha kumtaka kijana huyo mwenye umri wa miaka 30 ambaye mkataba wake katika Old Trafford unamalizika mwisho wa msimu. (L'Equipe -kwa Kifaransa)
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema pendekezo la Manchester City kwamba klabu hiyo inaweza kutumia uwanja wake wa mazoezi kwa maandalizi ya mechi ya marudiano ya robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumanne lilitolewa kwa kuchelewa.
Manchester United pia walikataa ombi kutoka kwa Liverpool wa kutumia uwanja wao wa timu ya wachezaji chipukizi. (Telegraph)
Kiungo wa kati wa Liverpool Mjerumani Emre Can, 24, ambaye mkataba wake wa sasa unafikia kikomo mwisho wa msimu huenda akaamua mustakabali wake katika kipindi cha wiki mbili zijazo, kwa mujibu wa mkuu wa Juventus Beppe Marotta. (Mediaset Premium, kupitia Express)
This will b a joke! Maruwani Fellaine kuvaa uzi wa Liverpool. Wapo wachezaji ambao ni top class na wa bei nzuri. Sako la Amerca kusini na baadhi ya nchi za ulaya kuna wachezaji wazuri tena wenye ndoto ya kucheza Liverpool.
France, Serbia,Croatia na Belgium na hata German huko kina vijana wachezaji wazuri tu sio kutuletea migalasa iliyojichokea.
Hivi liver hawana scout?
Plz Klopp usituletee huyu mtu tafadhali.
Aanze ili city wasisogee mbele
Salama kabisa mkuu Mimi Niko poa kabisaSalama sana Kiongozi.
Nashukuru sana Kiongozi.
Mimi ni Mzima wa AFYA kiongozi.
Vipi na Wewe Kiongozi?
Unaendeleaje Kiongozi?
Kama kawaida mkuu...ile ilikuwa ni mind game tuSalah anaanza?
Habari nzuri sana hiiKama kawaida mkuu...ile ilikuwa ni mind game tu
Leo ni goli 2 kwa bila mkuu, na mshindi bado ni yule yule si mwingine,Wale nyuki mliowachokoza mkitegema watatung'ata sasa leo mnao.. watieni moto tu kabisa wafe vinginevyo watawafedhehesha...
All the best watani
Wale nyuki mliowachokoza mkitegema watatung'ata sasa leo mnao.. watieni moto tu kabisa wafe vinginevyo watawafedhehesha...
All the best watani
Mkuu kuna Goli 2, moja la Firminyo na lingine la mwafrika yeyote [emoji13]Huenda Nyuki Wakatutafuna Lakini Wasituache Mahututi...
Kwahiyo Kutufunga Leo it doesn't matter! Kilichomuhimu Ni Je Wataweza Kututoa???
Kutufunga Wanaweza Lakini Kututoa Hawawezi.
Ndio kaka mi nakukubali sana analysis zako japo leo kuna uwezekano mkubwa tusishinde lakini kututoa hawawezi...Huenda Nyuki Wakatutafuna Lakini Wasituache Mahututi...
Kwahiyo Kutufunga Leo it doesn't matter! Kilichomuhimu Ni Je Wataweza Kututoa???
Kutufunga Wanaweza Lakini Kututoa Hawawezi.
tunao mazima hapa hakuna kuachia kabisaaa dakika 90+ itakua kusubiri draw ya tarehe 13/4/18...thanks thoughWale nyuki mliowachokoza mkitegema watatung'ata sasa leo mnao.. watieni moto tu kabisa wafe vinginevyo watawafedhehesha...
All the best watani