Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I wish mpangwe na Madrid mumuoneshe njia ya kurudi Hispania
Mkuu mshindi kati ya liver na cty anakutana na mshindi kati ya juve na madrid, pia mshindi kati ya barca na roma atakutana na mshindi kati ya munchen na sevila
 
hivi kuna mchezaji wa city atakeye miss mechi ijayo na liva kwa sababu ya yellow card?msaada tafadhali
 
Nadhani Alex Oxlade Chamberlain ameshaonesha Wazi Kuwa Hawezi Kujuta Kuhamia Liverpool na alichokifanya Ni Sahihi na Ni Bora Kwa Mchezaji Yeyote Kufanya Kama Alivyofanya Yeye Kujiunga na Liverpool 😀😀😀
Furaha imekujaa mpaka unasahau AOC mafanikio yake mpaka sasa ni kujihakikishia champions league position, semi final champions league, na Hana medal yoyote
 
Okay japo haijakaa kiuchambuzi sana mana kwa umiliki ule unafikiri wasingeweza kupata goli?? Na unafikiri kwa nini hatukupata goli? Mbona Klopp kuna mda alilalamika sana kuonyesha kuna makosa yalikuwa yanafanyika???
 
Good results, 3 goals na cleanshit versus Man city tulicheza vizuri na kudefend vizuri kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Lovren akicheza bila panicking hasa hasa kipindi cha pili. Nilipoona Lineup i was a bit nervous kuona kuna
 
Okay japo haijakaa kiuchambuzi sana mana kwa umiliki ule unafikiri wasingeweza kupata goli??

Kiuhalisia hawajapata ... back line jana imefanya kazi yake

Na unafikiri kwa nini hatukupata goli? Mbona Klopp kuna mda alilalamika sana kuonyesha kuna makosa yalikuwa yanafanyika???

hata mimi sikufurahia Ile performance ya 2nd half
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…