Mie Hasimu wako uwanjani japo ukikipiga namie hufurukuti, lakini mpaka sasa nikupe hongera, unamfundisha Mou jinsi ya kuwafunga kiwepesi hawa jamaa, ila namhurumia kocha wangu kibri chake kinatucost kwenye mechi muhimu, hajui kama kuna umuhimu wa kulinda heshima japo hatuchukui ubingwa!Leo Klopp awe makini na Kuupa Maelekezo Ya Hali ya Juu Upande Wetu Wa Ulinzi Wa Kulia ambako Kuna TAA na Lovren kwani Upande Huu Ni Very weak na Man City Huenda Wakatumia Udhaifu Wa Upande Huu na Kuelekeza Mashambulizi Yao Yote Kupitia Kulia.
Na Midfield area Combination ya AOC-Hendo-Milner Ni nyepesi Kwahiyo itambidi Mane na Firmino washuke Chini Kuja Kukimbiza Mpira.
Hata kwenye mchezo wa ligi, almanusura City warudishe yote!Tatizo liver nae kukomaa hawezi,unaweza ukakuta cha pili zikachomolewa zote
Mkuu huu moto hauzimiki mpaka final.Leo nina wakati mgumu sana. Lakini *** it, bora Scousers washinde na kufuzu kwenda SF. Kisha I will laugh at you when yo get battered in the SF. Hawa Shitty wakishinda wataleta kelele sana na maneno yao ya Pep ni kocha bora kabisa.
Kwani hujui hapo ni Anfield mkuu???Man city wamesimama au?
Teh teh teh! Nasubiria kucheka tu.Mkuu huu moto hauzimiki mpaka final.
Anfield=Kibiti!!!Its a massacre! Watu hawaamini macho yao Kops wanachowanyia "The Citizens", its a 1st degree murder!
Hata kwenye mchezo wa ligi, almanusura City warudishe yote!
Kweli we nziTeh teh teh! Nasubiria kucheka tu.
Yupl kibanda umiza sasa hivi.Smile! Sura za Liverpool fan kwa sasa. Sipati picha kwa furaha aliyonayo King Ngwaba kwa sasa.
YNWA
CITY wanabadilisha Mchezo hivi sasa, wanaweza pata GOLI