Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mkuu Jana Nilivizia Kwa Makini Press Conference Ya Klopp na Nikafanikia Kukutana Nayo Live! Nimemshuhudia Klopp Akisema Kuwa Can Hajataka £200K Bali ametaka £250K Lakini Bado Hapajaamuliwa Kitu na Mazungumzo Yanaendele (Klopp Said: "It was £250K! Nothing is decided. We are in talks so far.")
Kwahiyo Emre Can Kudai £250K kaluthibitisha Mwenyewe Klopp Hapo Jana kuwa Ni Kweli Lakini Pia Amethibitisha Kuwa Mazungumzo Bado Yanaendelea.
Mkuu sikuhiyo cross hizo zitadhibitiwa sana, watapelekewa moto wa nguvu sana...tutawakaba kwa kuwashambulia! Scoreline: 2-0!Mm Matip namuona slow sana kumuwahi Jesus baada ya cross za Sane
Yes.Jambo la muhimu hapa ni kwamba ,je mtaweza kuweka clean sheet nyumbani dhidi ya city?
Auzwe tu...Ukweli Usiopingika Ni Kuwa Msimu Ujao We need a replacement for Adam Lallana regardless Kama atauzwa au Hatauzwa.
Ukweli Lallana Ni injury prone na hawezi Kuunga tena kama ilivyo Kwa Sturridge! Kwahiyo Ni Lazima atafutwe Mbadala Wake Katika Backup Ya Midfield area ili tuongeze depth. Kwani Huwezi ukawa na Lallana ikisha ukasema una depth! Huo Ni uongo.
...siyo Egypt tu, Africa nzima!Huwezi Kuamini Salah has made the whole of Egypt love Liverpool. Kila Chochoro unayopita Ndani ya Egypt basi utasikia Liverpool na Salah tu..
😀😀😀😀
Towards the game on the day after tomorrow ..
Backline yetu hasa upande wa kulia wacheze kwa uelewano mkubwa i think itawork..
Wijnaldum namuamini sana kwenye big games..
I hope ataanza.. Cha msingi ile rotation ya mid wacheze kwa kwa pace sana
Its another game kwa Klopp ku apply the system ya Heavy Metal Football.. hii iliwafanya ata fcPorto waonekane very average!!
Hiyo ni kawaida. Even Mahrez aliwafanya waAlgeria wengi waipende foxes na hata vijana wa kule ufaransa wa kitongoji cha le Havre. Mahrez amekuwa mentor wao mpaka aina ya unyoaji wanamwiga.Huwezi Kuamini Salah has made the whole of Egypt love Liverpool. Kila Chochoro unayopita Ndani ya Egypt basi utasikia Liverpool na Salah tu..
😀😀😀😀