Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katika vitu navipenda kwa sasa ni Camera za waandishi hazihangaiki na wacheza wetu.Hili jambo ni nzuri sana ili wachezaj wetu wahifadhike.
 
IMG_20180326_125142_504.jpg
 
Salah to reject Real deal to stay with Reds

A big transfer (or non transfer) story to start with.
John Richardson writes in the Mirror that Mohamed Salah will stay at Liverpool - even if Real Madrid come calling.

Si Real Wanaomtaka Au Kumtangazia Dau Salah! Bali Media Ndiyo Zinazompiga Mnada Salah Kuwashawishi Real Wamnunue Kama Media Hizo Zilivyofanikiwa Kuwashawishi Barcelona Wakamnunua Coutinho.

Tokea Mwanzo Wa Msimu Media Hizi Zimekuwa Zikimuhusisha Salah na Kwenda Real Madrid Kama Njia Moja Ya Kumu-Upset Salah na Kuwafanya Real Waingie na Ushawishi Wa Kumnunua Salah.

Bado Real Hawajasema wala Kutangaza dau Lolote Kuhusu Salah ingawa Media hizohizo zimeshamtangaza thamani Yake Salah Kuwa Ni £200m Jambo Ambalo Ni Gumu Kwa Timu Kama Real ambayo pia inamtaka Harry Kane (£200m), Eden Harzad (£120m), Neymar Jr. (£200m), David De Gea (£100m).
Tetesi mastaa wote ndio zinaanzaga ivyo. Wqmchukue Salah tubaki na Hazard bhana
 
Tetesi mastaa wote ndio zinaanzaga ivyo. Wqmchukue Salah tubaki na Hazard bhana

Hazard na Courtois iwapo Hawatasaini Mkataba Mpya basi Ndiyo Rahisi Kwenda Real Kuliko Mo Salah.
Na Real Hawana Tabia Ya Kumsajili Mchezaji Aliyeng'ara Msimu Mmoja! Mpaka Wamuangalie Next Season Wamuone Kama Ataendeleza Consistency hiihii ili Hapo Ndiyo Watamsaini Kama Ni Outstanding player.

Lakini Hazard Na Harry Kane Tayari Wameshaonesha Kama Wao Ni Outstanding Performance with permanent Consistency! Kwahiyo Ndiyo Chaguo Sahihi la Real Madrid.

All my prayer Ni Kuwa Hazard Ataelekea Real in order Mo Salah awe Safe.
 
Mkuu kwa perfomance ya Mo Salah anauzika bila matatizo. Hazard perfomance yake sometimes inashuka kabisa. Courtois naye sijui anamechi zake. Mi naombea waingie uchizi wamchukue Salah Hazard wampige chini.
 
Tetesi

Dani Ceballos ambaye amekuwa akitafutwa na Liverpool ameambia anaweza kutoka Real Madrid mwisho wa msimu. Kiungo huyo wa kati Mhispania wa miaka 21 amekuwa pia anatafutwa na AC Milan na Juventus. (Mundo Deportivo kupitia Talksport)

Kipa Mbelgiji Simon Mignolet, 30, amesema atasalia na kupigania nafasi yake katika kikosi cha kwanza Liverpool na hatalazimishwa kuondoka klabu hiyo. (Sun)
 
Kiungo wa kati wa Liverpool kutoka Ujerumani Emre Can, 24, amelazimika kuandika kwenye Instagram ujumbe wa kupuuzilia mbali uvumi kwamba anataka kuondoka Anfield.
 
Huyu Dani Ceballos Kweli anaweza Kuonesha Impact Yoyote Kwenye Liverpool?

Various reports in Spain say Ceballos has been told he can leave Real Madrid this summer. The midfielder has failed to make a real impact in the Spanish capital since joining from Real Betis last July, starting just two La Liga matches. The 21-year-old is likely to be a Liverpool transfer target, according to talkSPORT, and it reports that Jurgen Klopp's side have been tracking the Spaniard for a number of months. They won't be alone in their pursuit of Ceballos though, with Juventus, Arsenal and Milan also linked with him.
 
So far so good!
Tumempoteza Gomez tu ktk international break hizi!
Ingawaje muda wa kuandaa vijana sio mkubwa lkn nina imani sana na KLOPP
Tutapata matokeo mazuri na CP
 
So far so good!
Tumempoteza Gomez tu ktk international break hizi!
Ingawaje muda wa kuandaa vijana sio mkubwa lkn nina imani sana na KLOPP
Tutapata matokeo mazuri na CP
pia Can na Solanke hawapo vizuri sana na hizi mechi zilizobaki tunahitaji kikosi cha kutuletea kombe la Champions league na nafasi ya pili EPL..YNWA
 
Can nadhani hata akiwa fit ASICHEZE tena sababu ataanza kuzomewa!
Lallana,OX,Wilj na Hendo wapo fit kwa sasa!!

Hata Mimi Kwa Comment Yake Hile Emre Can Tayari Nimeshapoteza Trust kwake Na Nahisi Muda Wake Tayari Umeshamalizika Ndani Ya Merseyside.
 
pia Can na Solanke hawapo vizuri sana na hizi mechi zilizobaki tunahitaji kikosi cha kutuletea kombe la Champions league na nafasi ya pili EPL..YNWA

Solanke Hakuwa Mtu Sahihi Wa Kubaki Liverpool January hii! Kwahiyo Ni dhahiri Kuwa Summer atolewe Kwa Mkopo na Origi auzwe (Permanent deal) Kwani Danny Ings ndiye Second Choice Striker Sahihi na Wala si Solanke.
 
Nilitegema Solanke angeweza kuwa na Option tofauti ya Uchezaji kwenye Idara ya ushambukiaji kwa timu pale inapohitajika kama kucheza Direct Football lakini mpaka sasa nilichokiona kwake Solanke ni Old School Number 9.HAKUNA KITU PALE.
 
Hata Mimi Kwa Comment Yake Hile Emre Can Tayari Nimeshapoteza Trust kwake Na Nahisi Muda Wake Tayari Umeshamalizika Ndani Ya Merseyside.
Sijapata habari zozote kuhusu Robo maana alitolewa dakika ya 66 kule Scotland
Robo ni mmoja w amabeki wazuri wa pembeni kwa sasa EPL!
Tunamuhitaji sana na Man City home and away
 
Sijapata habari zozote kuhusu Robo maana alitolewa dakika ya 66 kule Scotland
Robo ni mmoja w amabeki wazuri wa pembeni kwa sasa EPL!
Tunamuhitaji sana na Man City home and away
Hata mimi nilikuwa doubt kama yuko injured ila hakuna taarifa yoyote.
 
Sijapata habari zozote kuhusu Robo maana alitolewa dakika ya 66 kule Scotland
Robo ni mmoja w amabeki wazuri wa pembeni kwa sasa EPL!
Tunamuhitaji sana na Man City home and away
Yupo fit ilikuwa nadhani ilikuwa normal sub tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom