Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
sijui ni uzushi au la ila kama kweli Can kusema alipwe 200£k kwa wiki lol binafsi naona hahistahili huo mshaharaCan nadhani hata akiwa fit ASICHEZE tena sababu ataanza kuzomewa!
Lallana,OX,Wilj na Hendo wapo fit kwa sasa!!
am a big fan of this Ings guy kwa kweli asiumie tena ili we fit ku back inapohitajika na hatimae kuja kupata namba kikosini...Origi alipo kapotea kabisa alianza vzuri ila kwa sasa ni shindaaa....Solanke huyu ni for the future juzi kimataifa kacheza huku kidole kimeumia na amefunga goli muhimu sana...huyu apelekwa Championship mkopo akaive vzuri kujiandaa kwa mikiki ya EplSolanke Hakuwa Mtu Sahihi Wa Kubaki Liverpool January hii! Kwahiyo Ni dhahiri Kuwa Summer atolewe Kwa Mkopo na Origi auzwe (Permanent deal) Kwani Danny Ings ndiye Second Choice Striker Sahihi na Wala si Solanke.
sijui ni uzushi au la ila kama kweli Can kusema alipwe 200£k kwa wiki lol binafsi naona hahistahili huo mshahara
Suala zima katika soka ni matokeo mkuu,soka safi halijawahi kumpa mtu kombe.......cheza soka lako sisi tunasoma ubaoKama uliangalia matokeo liverscore Una haki ya kusema hivyo.
Ila ungeangalia mpira vizuri usingethubutu kuzungumzia ile game.
Jamaa yupo vizuri ila jamani tatizo ni yupo kama maua ya saa 4 yananyauka na kuchanua,siku AKIWA KATIKA SIKU ZAKE utapenda,maana alipiga kiungo safi sana siku ya game na city na kufanya KDB akae mfukoni kwa muda mrefu.......Ni bora Aondoke tu Aende Hiyo Anayoiita Timu Kubwa! Na Sidhani Kama Kuna Timu iliyokuwa Tayari Kumlipa Hata £150K kwa wiki! Yeye anataka £200K kwa Kiwango Gani alichonacho!!!!
Naona kama anavuruga hali ya hewa ya champion leagie kama vipi apige chini kabisa potelea mbali tukipotea analeta zarau za masikini akipta.Dah! Yani Hapa Ninafatilia Press Conference Ya Jürgen Klopp Kupitia James Pearce, Klopp Amethibitisha Kuwa Emre Can Kumbe Katika Mazungumzo Ya Mkataba Mpya Hajadai £200K Bali Amedai Alipwe £250K per week...
Ridiculous! Bora aende Haraka!!!!
Zile habar zilikuwa za uongoView attachment 729770
Aondoke tu akawe squad player Juve au Man City!Mkuu Jana Nilivizia Kwa Makini Press Conference Ya Klopp na Nikafanikia Kukutana Nayo Live! Nimemshuhudia Klopp Akisema Kuwa Can Hajataka £200K Bali ametaka £250K Lakini Bado Hapajaamuliwa Kitu na Mazungumzo Yanaendele (Klopp Said: "It was £250K! Nothing is decided. We are in talks so far.")
Kwahiyo Emre Can Kudai £250K kaluthibitisha Mwenyewe Klopp Hapo Jana kuwa Ni Kweli Lakini Pia Amethibitisha Kuwa Mazungumzo Bado Yanaendelea.
Ilikuwa joke ya kloop kwa waandishiMkuu Jana Nilivizia Kwa Makini Press Conference Ya Klopp na Nikafanikia Kukutana Nayo Live! Nimemshuhudia Klopp Akisema Kuwa Can Hajataka £200K Bali ametaka £250K Lakini Bado Hapajaamuliwa Kitu na Mazungumzo Yanaendele (Klopp Said: "It was £250K! Nothing is decided. We are in talks so far.")
Kwahiyo Emre Can Kudai £250K kaluthibitisha Mwenyewe Klopp Hapo Jana kuwa Ni Kweli Lakini Pia Amethibitisha Kuwa Mazungumzo Bado Yanaendelea.
Wakuu Mimi clyne simuamini sana ila Naona Moreno(TAA) Is best than Moreno so ingependeza Kama Moreno angerudishwa kwenye kikosi