Quarters and Semis Revealed
Liverpool ikiwa itaitoa [HASHTAG]#FCPorto[/HASHTAG] Katika [HASHTAG]#Round16[/HASHTAG], Basi Kwenye Quarter itakutana either Manchester City or Inter.
Na ikiwa itashunda Kwenye Quarter, Basi Kwenye Semi itakutana na Mshindi Wa Michezo hii PSG/Barcelona and Atletico Madrid/Basel.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Inter haipo CL
Liverpool HAIMUOGOPI yyt CL
Umekosea njia nenda facebook ukawadanganye kwa hizi storyQuarters and Semis Revealed
Liverpool ikiwa itaitoa [HASHTAG]#FCPorto[/HASHTAG] Katika [HASHTAG]#Round16[/HASHTAG], Basi Kwenye Quarter itakutana either Manchester City or FC Basel.
Na ikiwa itashunda Kwenye Quarter, Basi Kwenye Semi itakutana na Mshindi Wa Michezo hii PSG/Barcelona and Real Madrid/Basel.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Wewe nadhani ni shabiki wa manure. Mnatuzidi pwenti 4 tu, michezo bado zaidi ya 10, wewe unatutabiria kushuka daraja!?Liver msimu huu msipoangalia top 4 hamuingii
Mark my word
Mkuu, ni kweli ni haki yetu kumlaumu Hendo, lakini ni vizuri pia tukakumbuka kuwa Hendo originally ni attacking midfielder siyo defensive midfielder, ndo maana ulinzi wake ni dhaifu. Ameanza kucheza defensive just a couple yrs ago, na ukiangalia kwa ukaribu utaona huwa anacheza vizuri zaidi anapocheza attacking midfield.1) Sisi Hatumlaumu Hendo Kwa Kuangalia eti Mechi Fulani Tumefungwa au Kudraw! Sisi Tunacholaumu Huyu Jamaa Hile uwezo hasa Wakucheza Club kama Liverpool hana. Vile vile Hana Sifa za Leadership anapokuwa uwanjani.
Kwahiyo Hata Tushinde 7, 4 au 3 haimanishi Kuwa Hendo kaboreka, Hapana! Bado atabakia Kuwa ni Mbovu tu. Huyu Next Season ni aibu Kuja Kucheza Mbele ya Keita au Can.
Mkuu, ni kweli ni haki yetu kumlaumu Hendo, lakini ni vizuri pia tukakumbuka kuwa Hendo originally ni attacking midfielder siyo defensive midfielder, ndo maana ulinzi wake ni dhaifu. Ameanza kucheza defensive just a couple yrs ago, na ukiangalia kwa ukaribu utaona huwa anacheza vizuri zaidi anapocheza attacking midfield.
Keita ambaye ni defensive originally akija, ni nzuri akisaidiwa na Can, ingawa naye anapenda sana kwenda kushambualia, ni vizuri Hendo akaingia kwenye kundi pool la attacking midfielders, hasa ukizingatia kuwa Milner will be retiring soon.
Matip bado hajashuka kwa kiwango usemacho.
Ujue tu kua kukosea kupo mfano salah mbona hua anakosa magoli rahisi tu na anafunga magumu.
Tusikosoe mabeki wakizidiwa ujanja na washambuliaji tukawaacha washambuliaji ubinaadam uwepo pande zote
Salah hawezi funga hat trick coz akifunga moja au mawili kocha anamtoaLeo tunashinda sita salah hat trik
Leo tunashinda sita salah hat trik