Kwani wakikubali kuweka hicho kipengele shida iko wapi? Yaani kumuachia mchezaji mdogo kiumri kama CAN halafu ni jembe haswa, inaniumiza sana. Hope they will sort it out soon.Tokea Robert Firmino aekewe Kipengele cha "Release Clause" katika Mkataba Wake! basi Liverpool imeondosha mpango Wa Kueka Kipengele hicho katika Mikataba ya Wachezaji Wake na Haiko tayari Kueka Kwa Mchezaji Yoyote yule kwa Kuhofia Yasije Yakawafika Kama ya Suarez.
Kwahiyo Ni Wazi Kuwa Emre Can ni lazima Ataondoka Liverpool Kwani Moja ya Sharti lake la Kusaini Mkataba mpya ni Kuwa aekewe Kipengele hicho katika Mkataba mpya jambo ambali FSG hawako tayari.
Kwani wakikubali kuweka hicho kipengele shida iko wapi? Yaani kumuachia mchezaji mdogo kiumri kama CAN halafu ni jembe haswa, inaniumiza sana. Hope they will sort it out soon.
Release Clause ina maana CAN akitaka kuondoka saa na siku yyt ktk window tunakuwa hatuna nguvu!Kwani wakikubali kuweka hicho kipengele shida iko wapi? Yaani kumuachia mchezaji mdogo kiumri kama CAN halafu ni jembe haswa, inaniumiza sana. Hope they will sort it out soon.
"My agent is looking after everything but I am here until the summer. I haven't signed anything (with Juventus) or anyone," - EMRE CAN
Bado tuna nafasi ya kumshawishi Can abaki kwa io tuwe watulivu huenda tusimpoteze
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Wakuu ila klopp aongeze mtu wa kutusaidia UEFA tukikaza tunachukua
Asante king Ngwaba,hii inawafaa majirani ngoja niwapelekee...
Mimi bado sioni shida yeyote hapo, kwani hiyo 85M ni ndogo? Huyo dogo bado anaipenda timu, wao waweke hicho kipengele dogo aendelee kucheza soka Anfield!Mchezaji Ukishamuekea Kipengele cha "Release Clause" unakuwa Huwezi Kumcontrol tena na Mamlaka Yako Kwake ni Madogo Sana Kwani Anakuwa na Mamlaka kamili ya Kujiuza mwenye Bila ya Kuishirikisha Timu Hata kidogo! Si unaona Kilichotutokea Kwa Suarez! Au Kilichowatokea Barcelona Kwa Neymar! Au Tulichowafanyia RB Leipzig kwa Keita!!!
Sasa Liverpool Hawataki tena kuingiza Kipengele Hicho Katika Mikataba ya Wachezaji ili wasije wakawa na mamlaka ya Kujiuza Wenyewe kama Neymar au Suarez au Nabby Keita.
Timu Kama Real Madrid inaweka Kipengele cha "Release Clause" Kwa Wachezaji lakini Kinakuwa na Thamani ambayo Mchezaji Hanunuliki!
Kwa mfano Benzema Release Clause Yake ni €1000m, Rinaldo €1000m na Bale €1000m kwahiyo Timu haziwezi kuwanunua Kwa Kipengele hicho...
Lakini Kwa Upande Wa EMRE CAN wakala wake anataka lazima Aekewe Kipengele cha "Release Clause" kisichozidi thamani ya £85m na Mshahara Wa £120K jambo ambalo Liverpool imekataa....
Na sababu Ya Kukataa wanaona Kuwa CAN bado umri wake ni Mdogo, Kwahiyo wanachelea Kuja akaongezeka Kipaji ikisha akaja akachukuliwa Kiubwete kwa £85m wakati anakula £120K za watu.
Tuombe Mungu asiumie atazidi goli 30 msimu huuMohamed Salah's 24 goals this season has equalled Daniel Sturridge & Steven Gerrard's ever best goals tally's for Liverpool.
It's still only January
AiseeeHata mimi, hadi mda huu yanauma, na sitombi leo,