SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kaka huo ndio mpira, mbona C.Ronaldo aliondoka man u, Naeymar aliondoka Berca. Sembuse Coutihno. Timu itakaa sawa tu.Ni vicious cycle hata hao kina Keita,Salah,Mane wataondoka na utasema hakuna pengo wameacha,Coutinho anaondoka akiwa tayari amesha-mature tofauti na misimu yote aliyocheza angalia statistics zake kosa ni kumuuza katikati ya msimu while ni ngumu kupata replacement
Mm lanzin sion kama atafaa kuzb nafac ya c1 kabisa ,may be aletwe sanchezManuel lanzini atafit sana style ya Liverpool kuliko Mahrez.
Kitu ambacho hakiwezekan wakat huo huo wao wenyew RB LEIPZIG wanahitaj huduma ykeNaona klopp ameamua anataka kumleta naby keita mwez huu huu na sio dirisha lijalo
Its almost 30 years now You Never Won Anything,kama unatengeneza wachezaji then wakifika kwenye peak unawauza its OK but huwezi shinda chochoteKaka huo ndio mpira, mbona C.Ronaldo aliondoka man u, Naeymar aliondoka Berca. Sembuse Coutihno. Timu itakaa sawa tu.
Kwan Coutinho alikuwa na uwezo huo alitengenezwa Ku fit system?Mm lanzin sion kama atafaa kuzb nafac ya c1 kabisa ,may be aletwe sanchez
Sasa saiz mambo ya kutengenezew ufit kwa system time barred ,tutafute watu wa kaz haina haja ya replacement ya c10 mbona suarez,mbadala wake hatujapata why tuhangaikie na mbadala wa c10?Kwan Coutinho alikuwa na uwezo huo alitengenezwa Ku fit system?
Lakin mfumo umebadilika, cyo kama enzi za Suarez. Team inacheza tofautSasa saiz mambo ya kutengenezew ufit kwa system time barred ,tutafute watu wa kaz haina haja ya replacement ya c10 mbona suarez,mbadala wake hatujapata why tuhangaikie na mbadala wa c10?
Sasa Liverpool hatusajili makinda, tunachukua watu wenye uwezo wa kutosha. Tazama tumecheza na Burnley na Everton tumezipiga zote pasipo Coutinho. Ko tupo vizuri tu.Its almost 30 years now You Never Won Anything,kama unatengeneza wachezaji then wakifika kwenye peak unawauza its OK but huwezi shinda chochote
CR7 alishinda every domestic Cup akiwa United alivyotaka kuondoka ilikuwa sawa the same to Neymar pale Barca Coutinho possible huu ndio ungekuwa msimu wake bora kuchezea Liverpool
Sawa kop.YNWALakin mfumo umebadilika, cyo kama enzi za Suarez. Team inacheza tofaut
huyu jamaa mie sijawahi kumpenda sijui kwa nini? mchezaji yyte anayetemwa na Barca au madrid kama makapi mara nyingi mara nyingi uwezo wao huwa unaanza kushuka
CR 7 HAYUPOWachezaji Watano ghali zaidi duniani.
1. Neymar Jr
2. Coutinho
3. Dembele
4. Mbappe
5. Pogba