KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Nilikuwa nafatilia almost kila mechi tangu 2007Coutinho Mpaka Anatia Saini Mkataba Wa Kujiunga Na Liverpool Hakuna Mtu Aliyekuwa Akimrate Kwani Hakuwa na Kiwango Chochote Cha Maana Kinachotambulika Baali Alikuwa Ni Mchezaji Wa Mikopo tu...
Mpaka Pia Nimegundua Ulikuwa Humjui Coutinho.
Tuishie Hapa. Ova
Leo inatosha Klopp Kuwachezesha Kina Solanke, Grujic, Woodburn, Chamberlain, Ings, Karius na U23....
Haina Haja Ya Kuwachezesha FXI yetu ya Senior Team Hata mmoja Katika Hii Micky Mouse Cup ya FA.
Klopp aache Wachezaji Wapumzike ili Siku ya Man City Wachezaji Wawe fiti Hakuna Rotation yoyote.
Tukitolewa Micky mouse hamna tatizo.
Kwa hili hapana ... we need to be real, Trophy is trophy
Kapga goli tayariWakuu Mimi Leo Sipo Free Sana Kwahiyo Sitoangalia hii Micky Mouse Cup! Mutakaoangalia Tupeni Update ya Performance ya VVD ikoje.
Hamna kipa mleFrankly speaking VVD yupo vizuri naamini wakicheza mechi mbili tatu hivi na matip watatengeneza combination moja nzuri sana
Nimeangalia mechi nyingi ila hawa makiwa hawawez kuserv timVan dijk pesa inaongea.. Jamaa has been dreaming for.Liverpool .... He is in the right place..
Ka link up vizur
We all know merseyside derby n ngumu sana. so sitegemei mtu kudai leo clean sheet.. Cha msingi n hii win
Ila klopp ajfkrie tena.. Hawa Goalkeepers sio wa kwenda nao Champions League.. wanadaka kwa kubahatisha.. its a fact