Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na huyu Firmino afanye mazoezi ya Kucheza Kwa usahihi Mpira ya Vichwa Manake anapoteza nafasi nzuri tu...
 
Japo ni dua la kuku lakini ningefurahi sana kama Hendo angeumia mpaka mwisho wa msimu.
 
Huyu kipa mpumbavu sana...hilo goli la pili kafungwa kizembe mno!
 
Tufwile...ngoja nikalale tu! Washambuliaji wetu wanafanya kazi nzuri sana ila mabeki hovyo, kipa hovyo!
 
haielewek ni milner au can nan ndo DM..

What do you expect!!!Rotation zisizo na msingi.. inafanya game kama ya leo waanacheza only 4 players
 
January hii asipo nunuliwa kipa mpya nitashangaa sana!
Kipa mpira unaukwepa?
 
Gomez bao kama hili hili alifungwa na Lanzin wa WHU,akipona Clyne huyu kijana arudi tu kucheza FA cup
 
haielewek ni milner au can nan ndo DM..

What do you expect!!!Rotation zisizo na msingi.. inafanya game kama ya leo waanacheza only 4 players
Na leo kisingizio ni rotation ??
Nani aliwekwa bench leo ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…