SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Baada Ya Liverpool Kushinda Mchezo Wa Leo Natabiri Mambo Mawili Yatatokea:
1) Kwanza Wale Wote Wanaopotea Wakati Liverpool inapofanya Vibaya Kwa Ushindi Wa Leo Basi Watajitokeza Kumpongeza Klopp Kwa Shangwe...
2) La pili! Klopp Wakati Kashinda Basi Atafanya Juu Chini Atukere! Kwahiyo Mechi ijayo Natabiri Kuwa Atamueka Benchi Coutinho na Firmino.
well said brother.....JK is very arrogant and at times he's very stupid and naive
PL huwa kabla hujamaliza mechi yako ya mwisho ya round ya kwanza unacheza mechi nyingine kwanza then ndio unamalizia mechi ya round ya kwanzaHiv hii mechi tunayocheza ijumaa na aseno ni ya round ya kwanza au ya pili? Maana nakumbuka tulishacheza nao tukawapiga nne, ila mpka ss hv tumecheza mechi 18 za round ya kwanza manake bado moja tumalize round.
Ana point, maana kwa umri wake inabidi achezeTetesi
Winga wa Wales na Liverpool Harry Wilson, 20, amekataa kusaini kandarasi mpya katika klabu hiyo ya Anfield. (ESPN)