Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Chelsea kafa.. Kesho Eva Tonny tumchape kama goli zisizo pungua 4 tukae juu ya cheltako
Tetesi
Mchezaji Philippe Coutinho amekataa kuthibitisha kuwa atasalia Liverpool mwezi ujao, wakata Barcelona wanaandaa pauni milioni 127 kumpata mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)
You Should say ""Amekataa Kuthibitisha Kuhusu Khatma Yake"" Meaning Kuwa "Atasalia au Ataondoka"
Nimeleta habari kama nilivyoitoa kwenye vyanzo husika,siwez badili neno nisilo na uhakika nalo
↑↑
↑↑
Aliyoyasema Coutinho ni Haya ↓↓
Coutinho didn't help himself in his post-match interviews, quoted by the Daily Mail as saying: "I don't know how the future is going to be. What will happen in January, we will know it in January.
"I do not know if there will be an offer. I am at Liverpool and always do my best, respecting the jersey and supporters. Last summer there was a job offer in the same way that happens with any employee and I was interested.
"Since I stayed, I have played with will and desire. It was a special night due to the result and because I had the armband."
YEYE ALICHOKIELEZEA BAADA YA MECHI NI KUWA HAJAJUA FUTURE YAKE.. NA SI KUWA HAJAIJUA JANUARY...
Angalia Video Uyapate Maneno Yake Halisi Sio Unayochukua Kwenye Mitandao Ya Udaku
Ndio wanajiletaLeo everton anakuja anfield au?
Sion kama kuna suala la kulumbana hapa na sipo hapa kubishana.
Tofautisha Kati Ya ARGUMENT na DISCUSSION !!
• ARGUMENT: To find Who is Right.
• DISCUSSION: To find What is Right.
Asubuhi Njema.
Basi liver tunatakiwa kuw makin coz ni mech ya dab hyoNdio wanajileta
Na kweli arsenal wanayo shughuli pevuLiverpool watakuwa nyumbani huko Anfield leo kuwakaribisha Everton mechi itakayopigwa saa kumi na moja na robo (11:15 jioni).
Timu hizo zinakwenda kwenye mechi hiyo kila moja ikiwa katika hali nzuri baada ya kushinda mechi zao zilizopita, ambapo Everton ilishinda mabao matatu ugenini kwenye Europa League, huku Liverpool ikimpiga mtu mabao saba kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mechi nyingine ya leo, Arsenal iliyoshinda BATE 6-0 watakuwa na shughuli pevu ugenini kwa Southampton.