Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Alikuw anamaanish n kwamba uwanjan inabd wacheze vzur wajitahd kiac kwamba wale waliozoe kusema makosa ya bek zetu washindwe xha kuzungumzaHapo Kwenye Paragraph Ya Mwisho Hapakukaa Sawa! Hatuwezi Shindwa au Sahau Kuzungumzia Tatizo la Safu Ya Ulinzi Ya Timu Yetu....
Ingawa Timu inafanya Vizuri lakini Hatujui Safu yetu ya Ulinzi Ni Muda gani itakuja KutuCost Kama Siku ya Sevilla..... Kwahiyo Safu ya Ulinzi Ni Lazima ifanyiwe Marekebisho.
127 au 128?Tetesi
Mchezaji Philippe Coutinho amekataa kuthibitisha kuwa atasalia Liverpool mwezi ujao, wakata Barcelona wanaandaa pauni milioni 127 kumpata mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)
Week hii napunguza points kwa walio juu yangu!
Everton akipona sana 3-0
did u hear this from our manager?(JK) "THE CHEMISTRY WE BRING ON TO THE FIELD ISN'T ABOUT BUYING THE MOST EXPENSIVE PLAYERS
DO U AGREE WITH HIM?
We msichana hebu tulia kwanza....Tetesi
Mchezaji Philippe Coutinho amekataa kuthibitisha kuwa atasalia Liverpool mwezi ujao, wakata Barcelona wanaandaa pauni milioni 127 kumpata mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)
127 au 128?
We msichana hebu tulia kwanza....
Mungu saidia tukutane na timu kubwa si ndogo,kwa sa hivi tukikutana na real madrid au buyern ni nzuri zaidi sio akina porto basel au sharktaE: Liverpool (ENG)
Can play: Basel, Bayern, Juventus, Shakhtar, Porto, Real Madrid
Group stage: W3 D3 L0 F23 A6
Top scorer: Roberto Firmino (6)
Last season: N/A
Previous European Cup best: winners x5 (1977, 1978, 1981, 1984, 2005)