Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hivi unaamini kabisa toka moyoni kuwa liverpool msimu huu itafanya vizuri kuliko msimu uliopita? Kama ndio hebu niambie ni kwa sababu gani kwa kuwa mapungufu niliyoyaona liverpool msimu uliopita bado nayaona na msimu huu, kwa nini msimu huu uwe tofauti ?
Unajua kuna mahala inabidi utoe mapenzi ya timu na ukubaliane na hali halisi, Liverpool kwa upande wa defense + defensive mid iko vibaya, na kama Klopp hatofanya usajili january nina uhakika wa 100% hii defense itafungwa goli nyingi kuliko msimu uliopitwa. Kitu ambacho MZEE WA MAJOGOO hawezi kufanya ni kukubali mapungufu ya timu yake. Watu wanamsema Klopp kwa sababu huu sio msimu wake wa kwanza ,alitakiwa kuwa ameshatafuta ufumbuzi wa tatizo la defense , hamuwezi kila mwaka mkawa na tatizo lile lile tena bila kocha kuonyesha juhudi kulitatua . Nafikiri hapa ndio mnapopishana na mzee wa majogooNo doubt he has a Mental Disorder au atakuwa ni Mganga Wa Kienyeji mpiga Ramli aliyebeti anajipa Moyo asijechana Mkeka...
Tatizo sio kununua wachezaji tu Klopp ni mbovu kwenye mbinu za defence bado hajashtuka kuwa EPL bila defence lazima utakuwa msindikizajiUnajua kuna mahala inabidi utoe mapenzi ya timu na ukubaliane na hali halisi, Liverpool kwa upande wa defense + defensive mid iko vibaya, na kama Klopp hatofanya usajili january nina uhakika wa 100% hii defense itafungwa goli nyingi kuliko msimu uliopitwa. Kitu ambacho MZEE WA MAJOGOO hawezi kufanya ni kukubali mapungufu ya timu yake. Watu wanamsema Klopp kwa sababu huu sio msimu wake wa kwanza ,alitakiwa kuwa ameshatafuta ufumbuzi wa tatizo la defense , hamuwezi kila mwaka mkawa na tatizo lile lile tena bila kocha kuonyesha juhudi kulitatua . Nafikiri hapa ndio mnapopishana na mzee wa majogoo
Liverpool manager Jurgen Klopp says his team 'obviously have problems' and acknowledges that they still have 'work to do' defensively.Carabao is trash cup!
Is there for small team ili acheze Yuropa mwakani
Nyie mlivyomfunga asernal si mlisema msimu huu mnachukua ligue..???
Leicester anakukalisha tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dooh naona Okazaki tena huku kashawachafulia....hii game inabidi niangalie mpaka mwisho