Bingwa wa Fa, Carabao na anaeshika nafasi ya 5 kwenye league wanashiriki Europa CupHapana mkuu. Carabao inakupa tiketi ya moja kwa moja kushiriki Uropa cup. Fuatilia utapata majibu. Lakini kwa upande wa majogoo wanaliona kama kombe la mbuzi.
Mlisema msimu huu wenu.
Tunawasubiri.
Hii ndio faida ya kumnunua Chamberlain na kutokumuuza coutihno....
Boss wa Liverpool akanusha maneno ya mashabiki wa liva wanaodai kwamba timu yao inatatizo la beki...yeye anasema timu haina ilo tatizo na cha zaidi anataka aongeze nguvu ya kushambulia ili wapinzani wake wasiende kwenye goli lake...hii timu bora apewe hata Julio Kiwelu tu
mkuu, just ignore the guy. it must be a psychiatric case or something!!
mkuu, just ignore the guy. it must be a psychiatric case or something!!
hahahaa!!Endelea kushangilia netball tu!
Hujui lolote kuhusu the famous sport!!
Klopp out
Zizzou out
Koeman out
Wenger out
UPUUZI mtupu!!
hahahaa!
say
hahahaa!!
dah mkuu...unajua maana ya voyeurism?
Zizzou OUT
Kafungwa jana na Betis pia katoa sare mbili na akina Levante!
Zizzou OUT
Narudia tena endelea tu na mchezo wako pendwa,kwenye soka hujui kitu!!
Yani Waafrika Kama Tulivyoweusi basi na Akili Zatu Huwa Nyeusi...
Hivi Unapata Wapi Ujasiri Wa Kumlinganisha Zidane na Klopp??
Hebu Taja Trophy Za Zidane Za Miaka 4 na Utaje Za Klopp za Miaka 14 ikisha Ulinganishe Yipi is The King of the Modern Football...
Zizzou Ni Bingwa Mtetezi wa UCL na fahamu Kuwa 50% ya First Timu yake ipo Majukwaani haichezi...
Kroos, Marcelo, Benzema, Ronaldo... Hawa wote Wameiathiri Timu...
Kumbuka Sisi Tunaboronga Tukiwa na Kikosi Kamili...
Migno, Gomez/Trent, Matip, Lovren/Klavan, Moreno, Can/Gini/Hendo, Coutinho/Mane/Salah/Firmino...
Sasa Hapo Unataka Kuilinganisha Liverpool inayoboronga ikiwa imekanilika Kikosi Chake na Real iliyopungua??
MY TAKE:
Zidane Tokea Aichukue Real sasahivi Ndiyo Anakwenda Kombo jambo ambalo analifanyia Kazi... Lakini Klopp Huu ni Msimu Wa Tatu ana matatizo hayo hayo na anashindwa Kuyafanyia Kazi...
Hivi unaamini kabisa toka moyoni kuwa liverpool msimu huu itafanya vizuri kuliko msimu uliopita? Kama ndio hebu niambie ni kwa sababu gani kwa kuwa mapungufu niliyoyaona liverpool msimu uliopita bado nayaona na msimu huu, kwa nini msimu huu uwe tofauti ?Klopp ndiyo kocha pekee hapa duniani kwa sasa aliye available kutupeleka Canaan!
Tuna sema tumeisha choka kufundishwa na trash coaches
Klopp we trust you kwa sisi tunao jua soka!!