Bandugu kuna mtani hapa amenipasha habari kwamba Leicester walifanya karamu na walinunua majogoo yaliyonona na kuyachinjwa kwa ajili ya supu, vipi majogoo yako yamepona kweli au ndio hayo yaliyotendwa na Leicester?In Klopp I trust
Sack Klopp
Sack Conte
Sack Wenger
Sack Koeman
We do not need any defeat nor tie!
Huyu jamaaaa Mbona mlimpenda baada ya kuitosa chelsea. Leo imekuaje mnaanza kumponda. Ox ni midfilder mzuri sana atawasaidia punguzeni pressure.
Bandugu kuna mtani hapa amenipasha habari kwamba Leicester walifanya karamu na walinunua majogoo yaliyonona na kuyachinjwa kwa ajili ya supu, vipi majogoo yako yamepona kweli au ndio hayo yaliyotendwa na Leicester?
Carabao ndiyo nn huu upuuzi mkuu?
Jmosi EPL LC hawezi nifunga!
Carabao is trash cup!
Is there for small team ili acheze Yuropa mwakani
Yule Meku Wenger ndio kawapiga hawa ndugu zangu kwenye hii biashara hakika angalau wametupunguzia mizigo duh bado Walcot nae wakimtaka waje tu ndugu zetu hawa.
Kwani hujui vikombe vya mbuzi sisi mwiko. Subiri utaona...kama mwaka huu siyo wetu..... [emoji123] [emoji123]Mlisema msimu huu wenu.
Tunawasubiri.
Hapana mkuu. Carabao inakupa tiketi ya moja kwa moja kushiriki Uropa cup. Fuatilia utapata majibu. Lakini kwa upande wa majogoo wanaliona kama kombe la mbuzi.Hapa umepanic hili combe la carabao halimpeleki mtu ueropa Fa ndio humpeleka ueropa.
Hapana mkuu. Carabao inakupa tiketi ya moja kwa moja kushiriki Uropa cup. Fuatilia utapata majibu. Lakini kwa upande wa majogoo wanaliona kama kombe la mbuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Mbona kama una wasi wasi na timu yako.Mkuu Malafyale Ninakukumbusha tu Kuwa Tuna Mechi Ya Nne Mfululizo Hatujashinda ingawa unajisifu Una Bonge la Timu
Refer Swansea city alitwaa kombe hili kati ya 2012/2013 baada ya kumchapa timu yangu chelsea. Then next walishiriki kwa tiketi hiyo kwani kwenye ligi nahisi walikuwa wa 8 au tisa ivi kama sijakosea. Pia unaweza kugoogle for more verification zaidiMkuu ni Fa nina uhakika.
Mkuu ebu tuma kideo chake tuone ilivyokuwa"The second ball after a corner, and a throw-in… I am sick of goals like this. You cannot play football."
Julgen klopp.
Refer Swansea city alitwaa kombe hili kati ya 2012/2013 baada ya kumchapa timu yangu chelsea. Then next walishiriki kwa tiketi hiyo kwani kwenye ligi nahisi walikuwa wa 8 au tisa ivi kama sijakosea. Pia unaweza kugoogle for more verification zaidi