Kumbe wewe ni mwanasoka anayejitambua. Siyo kama yule mwenzako malafyale anayeamini Liverpool anatwaa ubigwa kila msimu. Liverpool bila Mane.....haiwezekani.Watfod aliyetushinda sisi kashabandikwa 5 kwa 0 huko... Ikisha anatokea Mtu from nowhere anakwambia tuna kikosi cha Kutwaa Ubingwa...
Man City 5 - 0 Liverpool
Watfod 0 - 5 Man City
Watfod 3 - 3 Liverpool
Ukieka Unazi pembeni, Hapo utabaini Kuwa Takwimu Zinaonesha Kumbe uwezo wetu msimu huu ni Sawa na Watfod.. OVER....
Mkuu calm down ndiyo ushabiki. Timu ipo vizuri sana. Msimu huu wenu mshindwe tuSababu ya mechi ya 5?
Origi katupeleka CL mwaka jana
Mwaka huu tupo vyema zaidi!
Mna panic bila sababu yyt ile
Kwani mechi za kwanza 10 Man City mwaka jana alifanya nn?
Sisi watu wa ajabu kweli kweli
Ungeongeza naDisappointed BUT is OK
Burnley 3-Chelsea 2
Burnley 1-Totenham 1
In Klopp I trust
Kumbe wewe ni mwanasoka anayejitambua. Siyo kama yule mwenzako malafyale anayeamini Liverpool anatwaa ubigwa kila msimu. Liverpool bila Mane.....haiwezekani.
Ila hizi number za goal mlizofungwa so far hazikustui hata kidogo?Totenham 0-Swansea 0
Pochetino has to GO!
Mawazo ya ajabu kweli kweli
Di Canio explains why Liverpool won't win the Premier League this season[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
kwa hiyo mkuu kwa mawazo yako unamaanisha LFC iko kwenye the same bracket na Tottenham?Totenham 0-Swansea 0
Pochetino has to GO!
Mawazo ya ajabu kweli kweli
Sababu ya mechi ya 5?
Origi katupeleka CL mwaka jana
Mwaka huu tupo vyema zaidi!
Mna panic bila sababu yyt ile
Kwani mechi za kwanza 10 Man City mwaka jana alifanya nn?
Sisi watu wa ajabu kweli kweli
Mkuu ukianza kutufananisha na tots we are totally losers ... tots was & will NEVER be our level.Totenham 0- Swansea 0
Poche afukuzwe haraka sana
Soka la ajabu kweli kweli
kwa kweli wakati mwingine Klopp tunamuonea tu maana jana zaidi ya mashuti 35 na tukapata draw hili sio tatizo la kocha...bila Mane asilimia za ushindi kwetu ni ndogo sana maana hata huyo Coutino jana bado alikua nervous sana...kwa staili hii big four ikifika 2018 May tunaweza kuichungulia.Ilitakiwa tushinde ili tuonekane miamba kwao... Kwa sasa tukubali tu klopp kafeli alianzsha kitu kashindwa kukimalza
Mkuu hivi haya mawazo ya Liverpool lengo lake ni kuwa inawania Kucheza Champion League umeyapata wapi?
Hayo ni Malengo ya Arsenal kukamata nafasi ya Pili ikachezw UCL lakini sio liverpool...
Sisi lengo letu ni TROPHY na sio Kushiriki CL...
Sasa wewe Hoja yako ni Kuwa Timu ya Last seasin inacheza CL ridiculous!!!
Tambua kuwa Kuwa Kwa sisi Mashabiki wa Liverpool Tunaoumwa na Timu huwa tunasema "BILA YA TROPHY, KUSHIRIKI CHAMPION LEAGUE NI MEANINGLESS"...
Liverpool si timu ya USHIRIKI bali ni Timu ya TROPHY..
Hata Klopp ashiriki CL miaka 20 mfululizo! Bila ya Trophy kwangu mimi atabakia kuwa ni Nothing na Hafai..
Klopp OUT,Rafa IN
Mkuu ukianza kutufananisha na tots we are totally losers ... tots was & will NEVER be our level.
Kuna siku utakuja kusema Brighton & hove Albion 2 - Huddersfield town 2 kisa ikitokea tume draw na kitimu kimoja wapo
Remember Conte 1 Pl trophyConte kapata sare leo
Nae hafai au?
Remember Conte 1 Pl trophy
Ila ahadi yangu iko pale pale mkuu tusubiri round ya kwanza iishe tuje kuichambua timu yetu vizuri
Conte OUT
Kashindwa mfunga Arsenal aliyefungwa na mpuuzi Klopp
He has to go
Tupo vizuri zaidi ya mwaka jana
Tuna depth ya kutosha
Worry not mkuu
[emoji14] [emoji14] [emoji14] Tena Capital One against Cardiff kwa matuta tena ugomvi huu unatafuta.Imagine calling this liverpool ni timu ya trophies , Ten years one trophy.
Sijui timu zinazochukua makombe mawili kwa msimu zitajiitaje