Tuliaaa!! Game haijaisha badoTehee teheee teheeeee mtu asiyejulikana kakipiga tayari kitimu kimoja kisichojulikana
Mimi ni mtu nisiejulikana, nafanya mambo yasiyojulikana
Kuna kijitu kisichojulikana kimepewa kadi isiyojulikana[emoji23]Tuliaaa!! Game haijaisha bado
ka
Cio Liverpool fan ila ile cio red card
Kwanza imetokea eneo la mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
jamani poleni, kwasasa lakini .
Indeed broh'. got youKwa Tunaojua Tatizo la Timu yetu lipo wapi huwa hatupati tabu sana kwa Gemu kama ya Leo!