People actually believed that FSG wangebid €100m for Thomas Lemar bila kuuza mchezaji? lol
ndiyo maana niliposikia we've bid for Lemar, nikajua Phill is a goner, but i guess last bid ya Barca haikuwa na improvement yoyote ndiyo maana tukapull out kwenye deal ya Lemar huku tukiwa tumeshakubaliana Personal terms na mchezaji.
but, to be honest kama tungempata TL, ningejitolea kumpeleka Coutinho huku nikiwa nimembeba mgongoni mpaka Barcelona. TL is just a Special talent na next season atapanda zaidi kwenye Market, sidhani kama itakuwa ni ile ile €100m..he's lethal.
Simlaumu hata kidogo Coutinho kwa kutaka kuondoka kwenda Barca, ni inevitable kwa Latinos/South Americans players, wanaishi na kucheza mpira huku wakiwa na dreams za kuzichezea Barca/Madrid. ni kama vile kina Ox/Gomez/Woodburn/Ibe/Solanke/Sterling/Rashford/Alli/Dier/Gibson/Chilwel etc wanavyokuwa wakiwa na ndoto za kuzichezea LFC/Utd/Arsenal/Chelsea etc..
Coutinho alikuwa advised vibaya na kina Kia, na pia Kina Soler/Segura wakawa wanamwambia ni chance yake ya mwisho (now or never), ndo maana he tried everything kupush for a move, but wakat haukuwa mzuri kwa upande wake na kwa LFC pia..
LFC rescued his Career, nakumbuka Inter Milan walikuwa wanataka kumpeleka tena kwa Mkopo Eibar, kabla ya sisi kubid €8m, Coutinho anaipenda LFC, na ndiyo maana alishawahi kusema kuwa ataondoka LFC kwenda Barcelona tu na siyo team nyingine.
you can blame Coutinho, but our greatest player of all time, STEVEN GERRARD, aliput in a TR ili kuforce a move kwenda Chelsea, SG ni Scouser, born and bleed Liverpool, but he wanted to join Chelsea, sembuse Coutinho, boy from favela ambaye alikuwa amepewa chance ya kucheza na Messi??. shit happens in football. Barcelona leo wakija kwaajili ya Bobby, he'll do the same thing.
tangu nimeanza kuishabikia LFC, katika jezi zangu zote nilizo-order/buy nina jezi 3 tu za Defender, ni ni DF mmoja tu, Number 5 ya Daniel Agger, na sijawahi ku-order jezi ya DF mwingine yoyote yule. kuna rafiki yangu mmoja aliniulizaga "why Agger?" kwanini unampenda sana Agger? nikamwambia Agger ndiye the most royal LFC players to ever played for the Club. i remember alivyokataa kwenda Barcelona (barca opted for Verlemen baada ya Agger kukataa), nakumbuka alivyozikataa pesa za Sheikh Mansour wa Man City (twice), nakukumbuka alivyokataa kushiriki mechi ya kumuaga SG pale Anfield kisa tu SG alimwalika Torres (Agger alishamwitaga Torres ni 'msaliti" kwa kukubali kwenda kucheza Chelsea ambao ni rival wa LFC). ikumbukwe kuwa kipind hiki ambacho Barca na Man city walivyorudi mara ya pili ndiyo kipind kile ambapo Rodgers alikuwa anamtreat kama Trash. but baada ya kuoneshwa mlango wa kutokea, akasema atarud kwao Denmark kuichezea team yake ya zamani Brondby, kwasababu alikuwa hataki tena kwenda kuichezea team nyingine ambayo ingemkutanisha na LFC wakiwa kama wapinzani. that is Daniel Agger.
so hawa kina Coutinho wanaipenda LFC but wana dream zingine pia. ni the same hata kwa Kwa Firmino.
nina uhakika kuwa Next summer, PSG/Madrid/Bayern will come calling for Sadio Mane. Tusubiri.