Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We have 2 clean sheets so far!
Just from 3 games!
Only Man U is ahead of us with 3!
Klopp anajua mpira kuliko sisi wote hapa!
Naona mabadiriko makubwa kwa Lovren

To be honest! Mkuu Weka Ushabiki pembeni na njoo kwenye Facts, Lovren hajabadilika Kitu.... Mkuu Kutoka Last Season mpaka sasa katika kikosi chetu aliyeonesha Kubadilika Ni Moreno peke yake! Tena ni kwasababu tulipomnunua alikuwa ni talented boy.. Kwahiyo ukija kwenye ukweli pia utakutia kuwa Moreno hajabadilika bali amerudisha Kipaji Chake tulichomnunulia ambacho kiliwahi kupotea..

Kuhusu Lovren hajabadilika kitu na wala hawezi kubadilika kwani ndio mwisho wa uwezo wake..
Udhaifu wake unazibwa na Kina Gomez/Trent, Matip, Moreno/Robertson..
Lakini errors anazofanya Kwenye Kila Gemu ni nyingi..
 
Wakuu Kwa Msimu huu is over! Tutegemee tena na Msimu huu Kuconcede Magoli 50 ndani ya EPL!

Timu yetu itabalance 50/50... Foward itatupeleka Mbele, lakini Defence itaturudisha nyuma... Hule mtindo wa kusawazishiwa goli dakika ya 90 utaendelea kama kawaida...

Lucas (Temporary Defender) Ameshaondoka! Kwahiyo Akipata injury Matip, Tutegemee Combi ya Klavan/Lovren (Hapa ni Disaster and Shit defensive line) au Gomez/Lovren..

Akiumia Matip and Lovren, Tutaona Combi ya Klavan/Gomez halafu Mbele yao Pana Mkali wa Pasi Za Nyuma Henderson.. Sasa hapa Ndiyo Tutaona Kiyama... Tukumbuke Kuwa Timu yetu haina Kiungo Mkabaji Wa Kuweza Kuwakava Mabeki Wetu kwani Hendo Anachojua Yeye si Kukaba bali ni Kupiga Pasi za Nyuma tu Kuwasumbua Mabeki ili angoze Katika Stats za Kupiga Pasi Nyingi...
 
Wenye wasi wasi Kuhusu Coutinho Waondoshe wasi wasi...

Kwasasahivi hawezi Kununuliwa mchezaji aliyeko kwenye Timu ya Taifa kwani hakuna Possibility ya Kukamilisha Usajili na Medical cheking Kwa Wakati Mmoja..
Ili aweze Kusajiliwa ni Lazima Timu ya Taifa imrudishe Nyumbani Brazil au Uingereza au Spain ili aweze Kukamilisha usajili kama alivyorudishwa Mahrez...

Lakini Wasi wasi Wangu Je, Atakaporudi Uengereza Washabiki Wa Liverpool hawatomzomea??
 

Kwa hiyo tungempata VAN ndiyo tungekuwa mabingwa?
Soka ni vitu vingi sana pamoja!Man City wapo fit kila idara wamekua mabingwa?
 
What about Sanchez/Lacazette/Ozil/AGAINST LOVREN?
What about Aguero/Jesus/Silva/Sane against Lovren?
Soccer is team work sport
I support Klopp,I support my team
Mpe hata Ferguson kama team ya mwaka jana ataipa CL football
I salute you Klopp
Hata kwenye Transfer market Cb walikua adim mnoo na ambao walikuwepo bei za Hammer..

broh nakuunga mkono"...
Falsafa ya klopp ni team work not individual..
Je.. Barca hawana solid Defenders lkn ndo wanasumbuaa

man city unayoona yenye wachezaji bei ghali majina na wazuri.. bado wanaruhusu Magoli

Let Team work do rather than individual
 

Perfomance make fan happy!
Akipewa nafasi akicheza vyema yote tutasahau
Kubaki kwa Coutihno ni fundisho kubwa kwa soka la dunia hii:Liverpool wana kocha anaye heshimika duniani
 

Is OVER sababu hajaja Van?
Tuna games 3 so far EPL
Zote Lovren kacheza na tuna clean sheets 2
Why dont you hope for good lkn mna ongea negatives tu?
 

Mkuu Klopp ni Kocha Mzuri Katika Msuala Mazima Ya Ufundi, Lakini Tukubali Kuwa Ana Ukakasi Katika Masuala Mazima Ya Usajili Kutokana na Falsafa yake...

Barca walipoona wanafeli Kumchukua Coutinho, walimleta alternative wake ambae ni Dembele.

Chelsea Walipoona wanafeli Kumchukua Lukaku, Walimleta alternative wake ambae ni Morata.

Man U walipoona anafeli Kumchukua Griezman, Walimleta alternative wake ambae ni Lukaku..


Kwanini Klopp inapoonekana Wazi Kuwa anafeli Kumchukua VVD, asidhabuni Kwa alternative ya VVD akamleta??

Hapa ndiyo Klopp anapofeli kwenye usajili kwani Haiwezekani Kuwa Beki mwenye Sifa ya Kuichezea Liverpool ni VVD pekee! Kwanini asitoe dau Na kwa mabeki wengine?? Kuna Dozens of Defenders ambao ni Miles away better than our defenders, Kwanini Klopp asiwatie dhabuni na Kuwanunu ili wawe mbadala wa VVD? Lakini kang'ang'an na VVD tu!!!!

Klopp ni Lazima abadilike Mkuu...
 
Kwa hiyo tungempata VAN ndiyo tungekuwa mabingwa?
Soka ni vitu vingi sana pamoja!Man City wapo fit kila idara wamekua mabingwa?
wampingao klopp wata surrender tyu wenyewe..

2008 klopp aklitokea Mainz na kutia kandarasi kunako dortmund".. alikuta tim haina pesa kwa hiyo hawez kununua top players.
alichokifanya Bwana huyu aliwaambia viongoz na maboss kwa ujumla.. hawa hawa wanatosha atawachukua na kwenye accademy.. ambao ndio hawa kina Reus Lewando Gotze na wengine years later Dortmund hii imevifunika vilabu vingi"...

Tuelewe soko halikua rahisi hata kidogo... Kuna mtu anapenda kulala njaa ili hali chakula kipoo?
 
Hata Liverpool Echo Wameona Hatari ya Kutosajili Beki wa Kati na Wameongea Wazi Kuwa Kwenye Ushambuliaji Hatushikiki tuko Very Strong lakini Kwenye Ulinzi Ni Kituko cha Kawaida..

 
Nadhani Hakuna msimu tuliosajiri wachezaji ambao walikuwa kwenye plan na wakatia saini zao Kama msimu huu falsafa zetu kipindi cha BR zilikuwa ngumu sababu ya Ian Ayre sure kwa sasa FSG waliliona ilo wakamwitaji Klopp maana ni mzuri kwenye Tactics na ubora umeongezeka since ametua Anfield nani sasa asiyetaka kufundishwa naye Couth angeondoka Lakini angalia alivyopambanana msimu ulivyoisha kupigania nafasi ya UEFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lovren wife tried to leave him for a man who works as a timberman in croatia..without even caring that he pockets 100k per week at LFC

This nigga is clueless and shit even in bed ffs

And y'all think he will lead us to glory lol..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwa hiyo tungempata VAN ndiyo tungekuwa mabingwa?
Soka ni vitu vingi sana pamoja!Man City wapo fit kila idara wamekua mabingwa?
hakuna mahali nimemtaja VVD. soma tena mkuu ili uelewe vizuri nilichoandika.
 
Is OVER sababu hajaja Van?
Tuna games 3 so far EPL
Zote Lovren kacheza na tuna clean sheets 2
Why dont you hope for good lkn mna ongea negatives tu?
you can't win an EPL title with a leaky defence, unless you have a Messi or a Ronaldo on your side who will always help you to outscore your opponents....
 
Mashabiki wa Liverpool na Man Utd mnamdomo sana hadi mnakera utafikiri ni watoto wa mama mmoja,usajili umekwisha tulizeni mishono.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…