Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapa Ndiyo watu Watafahamu Kwanini tunamlalamikia Klopp Kuhusu Kututengenezea Kikosi Kipana!!!
Trent na Can leo Wako Fifty-Fifty Huenda Wakacheza au Wasicheze! inapotokea injury timu yenu inaelekea Dilemma.

Liverpool duo Can and Alexander-Arnold sustained minor issues during Wednesday’s Champions League play-off victory over Hoffenheim, but Klopp believes they will be available for the visit of the Gunners to Anfield this weekend.

LFC availability latest: Emre, Trent, Wijnaldum and Coutinho
 
Ilikuwa ukawashauri Barca Kwanza, Kwanini matajiri Wanapomtaka Messi wao Hawamuachii Bali huruka kidete na Kusema "Messi hauzwi Kwa gharama yoyote"?
mkuu messi sio kwamba hauzwi hapana,yule anamlinzi ambaye ni release clause kama kuna timu itafikia hilo dau swala la kuondoka linakuwa mikononi mwake kama ilivyokuwa kwa neymar jr
 
mkuu messi sio kwamba hauzwi hapana,yule anamlinzi ambaye ni release clause kama kuna timu itafikia hilo dau swala la kuondoka linakuwa mikononi mwake kama ilivyokuwa kwa neymar jr

Hata Coutinho angelikuwa na Release Clause na yeye pia angeliuzwa kama alivyouzwa Suarez! Swali ni je Messi nje ya release clause anaweza Kuuzwa? Full Stop!!!!??
 
Klopp aweka wazi msimamo wake juu ya Mustakbali Wa Sakho na Kubainisha Kuwa Katu Hatorudi tena Ndani Ya Liverpool..

Liverpool will welcome Philippe Coutinho back with open arms but Mamadou Sakho will be shown the door
 
Loris Karius starts tomorrow's game against Arsenal, Mignolet ill or injured.
 
Jamani atakae kuwa na link ya mechi ya leo atutupie na sie tuone
 
Klopp aweka wazi msimamo wake juu ya Mustakbali Wa Sakho na Kubainisha Kuwa Katu Hatorudi tena Ndani Ya Liverpool..

Liverpool will welcome Philippe Coutinho back with open arms but Mamadou Sakho will be shown the door
Hii ni kati ya sababu zinanazo nifanye nimchukie klopp the guy ana-ego ya kijinga sana

Nimecheki our highlights za game zetu (epl & uefa play off) Bila kuyumbisha neno our team doesn't need Cou anymore
 
0c252b711e9913b3f281f0588632817a.jpg
 
Klopp: "Simon is rested, that is all. He won the race and was really strong for us but we need the other two boys (Karius and Ward)
 
Klopp: "For a goalkeeper it's a different intensity. He is in the stadium, we had no argument and I told him a rest makes sense."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom