Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kale Kashabiki Ka Arsenal aliyekua Akitufanyia Tafrani Humu Yuko wapi?Manake Kashadonolewa Kamoja usiku huu! 😀😀😀😀
Kuna mtu humu alisema lallana sio kitu na ni wa benchi tu nadhani mmeona umuhimu wake maana hata huyo.salah sio mwepesi kihivyo akiwa na mpira....viungo wazito sana. Nakwambia kwa salah na lalana ...huyo salah ataanza sababu ya bei but hamzidi yule jamaa wa miguu miwili yenye kiwango sawa.dah!! Viungo wote wazito... Lallana apone tu
Kijana amekiwasha jana piga sana majalo mamaee zake yule marcelo anasubiri tulikosa mpiga header tu pale mbele dah kanifurahisha sana huyu kijana
King Ngwaba. Tatizo la Liverpool ni nini hasa?
Je uwezo wa Jk ni Mdogo? Hatuna kikosi kipana ( classic players?
Pambaneni na hali yenu hakuna namnaSo sad! Jurgen Klopp Kwa mara nyengune anajaribu Kutuconvince tuamini Kuwa Hata Kama Hatafanya tena usajili wowote Liverpool is strong enough to compete on all fronts!!!!.
Kiukweli Liverpool's need for a centre-back is well known, Lakini ushindi wa 0 - 1 wa last game dhidi ya Crystal Palace hii imeonesha Wazi weakness ya Timu yetu.
Mohamed Salah alipumzishwa Kuanza Katika Mechi ya Palace na Tukaona Klopp akibadilisha Positions Za Wachezaji Kwa Mfano Kumuondosha Bobby From False number 9 to Winga ya Kushoto, Kwa Hiyo ni wazi Kuwa Plan B is still the same as last season.
Nimekupata mujarabu.Tatizo sio Klopp! Tatizo ni Wamiliki FSG na Bodi ya Timu..
FSG limitation yao Ya Matumizi Kwenye Kununua na Mishahara ni Kali zaidi Kiasi Ya Kwamba ni Vigumu Kumshawishi World Class Player Kuja Liverpool Kwa Mshahara Wa £100,000 to £150,000/= wakati anajua Akitua Kwenye timu nyengine atakamua £200,000 to £220,000/=
Na vilevile kwenye manunuzi ya Wachezaji Ukitazama Man U thamani ya Pogba, Lukaku na Matic ni Lazima uvunje Benk! Na ndiyomaana Yanaanza Kuonekana Matunda Yake... Jambo Ambalo halipo Katika Plan za FSG kutumia zaidi ya Kile Walichouza.
Na bodi ya Liverpool inahusika Kwa 100% kuanguka Kwa Liverpool kwani Wanaamini Zaidi UTAMADUNI wao Kuliko Mafanikio ya Timu! That is why Ni sisi tu Mashabiki ndio tunaolilia Kucease Kwa Miaka 27 lakini CEO (Chief Executive Officer) Na Bodi Yake Hawajaliwaza Hilo la kutaka Ubingwa au Mafanikio ya Kubeba Makombe, bali Wanachowaza Wao ni Biashara tu na Ndiyo Maana Timu ya Liverpool Ni Marufuku Kuuzwa Kwa Tajiri Anaependa Mpira, bali inauzwa Kwa Wale tu Matajiri Waliobobea Katika Biashara ambao wako Very Economically ambao Wakiamka Tu Hawatazami "Tumeshinda Ngapi au Tumefungwa Ngapi" bali Wao hutazama "Account imesoma Digit Ngapi"...
Klopp Kwa Upande Wake No doubt hana Tatizo la Kiufundi Kwani to be honest ametuboreshea Wachezaji wetu ambao aliwakuta ni very average players...
Ila ana minor prolem kwenye suala la Usajili ambalo linachangiwa na kiasi kikubwa sana na Scouts yetu pale inapofuata Target inakosa ushawishi wa kuweza Kumvuta Mchezaji huyo na Wanaposhindwa Kwenye Target Moja Wanakuwa Wanashinda Kutafuta Alternative yake at the end dirisha Linafungwa Tukiwa Empty handed...
Naona tumenyonga mtu, vijana wamepiga mpira mzuri sana jana sasa macho tunaelekeza kesho tuone tutapangwa na nani kwenye group letu, Bado tunahitaji CD muda unakwenda naona jamaa hawana wasi wasi wowote, Ngoja tournament zianze kuchanganya leo tumecheza EPL week ijayo League Cup hatujaa sawa UEFA hiyo aiseh patakuwa patamu ndio mwanzo wa kuanza kuchezesha kikosi kibovu kama Klopp alichochezesha jumamosi, ngoja tuone tutafikia wapi.Leo mbona kimya hamuoni vijana wanachokifanya huko?
Dogo yupo vizuri sana, Ila imekua tofauti kwa Gomez msimu ule kabla ajapata majeraha alikuwa poa sana ila sasa hivi nina mashaka sana na kiwango chake, ila ngoja tuone time will tell.
Dogo anajua hadi anakera.
Halafu Salah ni mzito kiaina...Hongereni wakuu mmeupiga mwingi....zile pasi Za Mane za kisigino daahsalah bado anahitaji kutulia
Robertson yuko poa sana kwa kiwango alichoonesha jumamosi binafsi sikutegemea aiseh.Ngoja apate gamatime zaidi hopefully kiwango kitaimarika zaidi pia.Dogo anajua hadi anakera.
Bila kumuacha Robertson
Kweli akipata muda zaidi wa kucheza atakuwa na match fitness.Robertson yuko poa sana kwa kiwango alichoonesha jumamosi binafsi sikutegemea aiseh.Ngoja apate gamatime zaidi hopefully kiwango kitaimarika zaidi pia.