Mshabiki wa Liverpool hata HAPA!
Team ikipoteza mnakuja sana hapa kumponda Klopp
Team ikifanya makubwa kama yale ya jana HAMNA anayetoa hata pongezi
TUBADIRIKE!
Klopp ni mmoja wa makocha wazuri tena wa Low budget dunia ya soka kuwa nao!
Kauli zetu tukifungwa kumponda KLOPP huwa zinanishangaza sana!
Hata the Greatest Bill Shanky na Babu Farguson walikuwa wanapoteza games

hongera kwa kuliona pia,yaani ni sekunde tu watu imani inawatoka,....jana Gomez kachangia pakubwa goli la pili !Dogo yupo vizuri sana, Ila imekua tofauti kwa Gomez msimu ule kabla ajapata majeraha alikuwa poa sana ila sasa hivi nina mashaka sana na kiwango chake, ila ngoja tuone time will tell.
YNWA.
Salah arudishwe kushoto, hayuko comfortable kucheza kuliaHongereni wakuu mmeupiga mwingi....zile pasi Za Mane za kisigino daahsalah bado anahitaji kutulia
Na sio jana tu hata match ya ufunguzi EPL kama utakumbuka goli la Watford la kusawazisha kama sikosei alisababisha yeye.....jana Gomez kachangia pakubwa goli la pili !
Mshabiki wa Liverpool hata HAPA!
Team ikipoteza mnakuja sana hapa kumponda Klopp
Team ikifanya makubwa kama yale ya jana HAMNA anayetoa hata pongezi
TUBADIRIKE!
Klopp ni mmoja wa makocha wazuri tena wa Low budget dunia ya soka kuwa nao!
Kauli zetu tukifungwa kumponda KLOPP huwa zinanishangaza sana!
Hata the Greatest Bill Shanky na Babu Farguson walikuwa wanapoteza games
hongera kwa kuliona pia,yaani ni sekunde tu watu imani inawatoka,
Hili ndio nilikuwa nalizungumzia hata mimi mkuu sio kuwa naponda ila tuongee tuu ukweli kikosi sio kipana tunahitaji kuongeza wachezaji haswa kwenye midfield na kwenye defence ila sidhani kama ilo litatokea maana muda ushaenda na kocha nae kashaonesha na squad ya sasa , watu wanaridhika na game za mwanzo tuu wakati league na tournaments nyingine hazijachanganya, ngoja tuone itavokuwa.Wakuu Kama umetuquote vizuri basi ni kwamba hatupondi ufundi wa Klopp bali tunalalamikia Falsafa yake anayopenda kuwaaminisha watu...
To be honest Klopp ni Kocha Mzuri! lakini Timu anayotutengenezea ni timu ya kupambana si zaidi ya Miezi 4 (August to end of November)....
Kikosi tulichonacho hakiwezi Kucheza Ligi zaidi ya Moja (Yaani EPL, EFL, FA and UEFA)..
Kwavile hatuna Kikosi Kipana, atalazimika Kupumzisha Wachezaji kwa ajili ya UEFA hapo ndiyo tutaona kikosi cha kina Woodban na origi kinavyotugalagaza EPL kikosi ambacho katu hakiwezi kuwa na Plan B..
Mkuu Klopp ni Lazima asajili ili tuwe na kikosi kipana... Kwa ajili ua FA, EFL, EPL na UEFA.
Expected to be back in DecemberHivi Lallana yuko sidelined kwa miezi miwili au mitatu??
Duuuh!Expected to be back in December
Inadaiwa dogo yupo very low ! Kuna wapambe wanamshawishi aite press conference kushinikiza exit
Kawaida ya Brazilian hasipo chunga us Nermay yatamkutaInadaiwa dogo yupo very low ! Kuna wapambe wanamshawishi aite press conference kushinikiza exit
sasa kama yupo very low nyinyi wa nini sasa muacheni dogo akatafute maisha sehemu nyingine chukueni hela hizoInadaiwa dogo yupo very low ! Kuna wapambe wanamshawishi aite press conference kushinikiza exit
Atarudi DecHivi Lallana yuko sidelined kwa miezi miwili au mitatu??
sasa kama yupo very low nyinyi wa nini sasa muacheni dogo akatafute maisha sehemu nyingine chukueni hela hizo